Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

Status
Not open for further replies.
Kama ni kweli police wanayo kazi. kwa vyovyote wakristu hawana hilka hiyo ya jino kwa jino ila kama ndivyo basi ni mara ya kwanza na wanafaa waadhibiwe mbaya kabisa kukomesha tabia hiyo. akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto

Hiyo kauli haipo siku izi, vinginevyo itumike hata kwenye mapenzi.
 
wazee asikuambie mtu , kisu cha shingoni ni mziki mwingine arifu!!!!!!
 
Bora ungekaa kimya nikuwekee Genocides za viongozi Wakirsto walivyotoa roho za mamilioni ya watu.

Hebu ziweke hapa Mkuu! Na mimi nitakuwekea picha uangalie mwenyewe jinsi gaidi fulani kwa mgongo wa dini likihimiza violence na mauwaji tena ni Tanzania hii hii wala sio mbali. CD/DVD zimetapakaa kila mahali nchi nzima; ni kiongozi wa dini yenu huyo.
 
Kumbe alikuwa anawazuia wezi wasiibe nazi zake wakamchoma kitu chenye ncha kali? Mwanga wa milele...
 
Haya ni makundi mawili tofauti kabisaaa. Mosi, Padri Mkenda alikuwa auwawe kwa bastora. Padri Mushi kauwawa kwa risasi. Wauaji wakiwa kwenye vespa kama ilivyokuwa kwa padri Mkenda.Pili hawa ni magaidi kamili. (These are professional assassinates);

Wauaji wa imamu ni wauaji wa kienyeji kabisa, kama vibaka . wameuwa kwa mapanga. Wakimpiga mapanga imamu.Pili, imamu kauwawa mchana shambani. Au tusema ndo tofauti za Sunni na Shia.Hii, ni dalili kwamba moto huo uliowashwa hautazimwa huko ZNZ. Unabii wa Mwl. Nyerere umeanza kutimia.
Tumia akili kifo ni kifo hakijalishi wauaji wametumia zana gani kuulia.Hivi padre mushi angeuawa kwa mapanga pia ungesemaje.Naona mmeanza.Kwanza mlianza kuwatuhumu waislamu kuhusika na kifo cha padre na sasa naona kama harufu ya kisasi vile tena kwa kuvizia.Haya ni mauaji ya kuvizia kabisa.Hapo mwenye akili atajua kwani yametumia mauaji ya aina hiyo kwa upande wa zanzibar.Imamu huyo amepoteza maisha.
 
Kumbe alikuwa anawazuia wezi wasiibe nazi zake wakamchoma kitu chenye ncha kali? Mwanga wa milele...

Acha hizo blabla,alijuaje huyo kamanda ilihali Imamu alikuwa peke yake huko shamba?Tunataka maelezo ya kutosha kutoka kwa jeshi la polisi,hatutaki polojo hapa.
 
Bado mimi ninaamini kuna group la watu wamejipanga kutuchonganisha maana watanzania hatupo hivyo, dini zenyewe tumezijulia ukubwani, sasa wachonganishi hao wanajitahidi kufanya hujuma pande zote ili jamii iamue vurugu wauze siraha, wachukue dhahabu na mwisho watutawale.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Masuala mazito kama haya hayatakiwi kusema liwalo na liwe,,, ni hatari bado kidogo hawa jamaa wataanza kusogea magogoni watch'out wakuu
 
waliouwawa watakuwa ni tofauti na uhamisho kwa vyovyote vile au kuficha picha kwamba watu fulani wanahusika
 
mbona hakuna taarifa zozote toka jeshi la polisi mpaka sasa kuthibitisha? weka basi sorce ya news
 
Kwa Elimu yenu mliyonayo, Taifa limenufaikaje? Au ndo zile sifa za Sie Tumesoma sana lakini Hamjaelimika wala kustaarabika? Muhimu ni kuacha kudharauliana na kukebehi wenzio. Tujenge Taifa letu pamoja kwa haki bila dhulma.

Umedhulumiwa nini matokeo ya 60% ya watanzania waliofeli ni waislamu tupu nini?,Muda mwingi mnaipotezea serikari kujadili maswala yenu badala ya kuwatumikia wananchi fanyeni kazi tende na gahawa mpaka lini?
 
Ukiona mtu kaua kwa jina la Ukristo huo si ukristo. Bibilia haijasema ili kufika mbinguni nguzo/imani mojawapo ni kuua.

HAKUNA PEPO ya wauaji katika ukristo.

Hao ni wakristo mashetani.

Ni kweli kabisa. Wenzetu wakiua au wakikata mkono au kupiga mawe mkosefu, wanafanya hivyo kwa mujibu wa kitabu chao 'kitakatifu'!!!!
 
kwa maelezo haya watu walomuuwa anawajuwa sababu mwizi wa shamba au kijijini lazima ajulikane na kila mtu
 
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.


........................network search
 
Kama ni kweli basi hii itakua ni janja ya wauwaji walewale wa padri kujaribu kushawishi dunia kwamba ni wakristo wamelipiza kisasi, jamani tuweni makini kwenye hili
 
What goes around comes around!


NAWASIHI WAKRISTU MSIFURAHIE KIFO CHA IMAAM SIO JAMBO ZURI KUFURAHIA KIFO, SISI TUMESEMA HATULIPIZI MUNGU NDO MTOA ADHABU, ASITOKEE YEYETO KUPONGEZA MAUJI YA IMAAM.

Mnavunga kupangusa midomo sio,
Twenden tutafika tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom