Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
:car::lock1::flypig::flypig:
Nalog off
:car::lock1::flypig::flypig:
Habari zenu wakuu.Mimi ni mtumiaji pia wa facebook.Kuna mabinti sasa wanafikia watatu ambao waliniomba niwe mshirika wao wa biashara kuwekeza nchini kwetu TZ.Kwa nyakati tofauti wamekuwa wakiomba ushirikiano wa kibiashara.Lakini hadi hapa nimegundua yafuatayo: 1.Maelezo yao kwenye email yanafanana 2.Maeneo wanayojieleza kutokea yanafanana(Senegal,Siera Leon) 3.Sababu ya kuwa kambi za wakimbizi zinafanana(Baba zao walifariki na walikuwa viongozi wa serikali au wafanya biashara.) 4.Hawataki tuwasiliane kwa facebook ila kwa email tu. Hao wote wametaka maelezo yangu binafsi,maisha na akaunti za benki ila sijawapa.Haya ni majina yao;Tina Thiara,Queen Thiara na Minnie Bagbo Sankawulo. Ndugu zangu,huu mchezo unaitwaje na je niko salama?Kuna yeyote amewahi kukutana na majina hayo?Nahitaji msaada wenu zaidi hapo.
Habari zenu wakuu.Mimi ni mtumiaji pia wa facebook.Kuna mabinti sasa wanafikia watatu ambao waliniomba niwe mshirika wao wa biashara kuwekeza nchini kwetu TZ.Kwa nyakati tofauti wamekuwa wakiomba ushirikiano wa kibiashara.Lakini hadi hapa nimegundua yafuatayo:
1.Maelezo yao kwenye email yanafanana
2.Maeneo wanayojieleza kutokea yanafanana(Senegal,Siera Leon)
3.Sababu ya kuwa kambi za wakimbizi zinafanana(Baba zao walifariki na walikuwa viongozi wa serikali au wafanya biashara.)
4.Hawataki tuwasiliane kwa facebook ila kwa email tu.
Hao wote wametaka maelezo yangu binafsi,maisha na akaunti za benki ila sijawapa.Haya ni majina yao;Tina Thiara,Queen Thiara na Minnie Bagbo Sankawulo.
Ndugu zangu,huu mchezo unaitwaje na je niko salama?Kuna yeyote amewahi kukutana na majina hayo?Nahitaji msaada wenu zaidi hapo.
Scammers?What do u mean mkuu?
Scammers?What do u mean mkuu?