Recent content by mbishi sana

  1. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwanini wanafunzi waliosoma BCom kutoka UDBS hawaitwi katika usaili kutoka tume ya ajira.

    Habari wanajamvi! Mie ni mhimtimu wa shahada katika fani ya biashara (Bcom) kutoka chuo kikuu cha dar es salaam. Nimeomba nafasi mbali mbali zaid ya kumi za kazi katika tovuti ya ajira bila mafanikio ya kuitwa katika usaili hata mmoja. Nikaona si vibaya kwenda kuuliza labda kuna kitu nakosea...
  2. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Zitto ajilipua, tusimtose

    Tatizo lako umejaa chuki binafsi na Zitto. Ndo mana huwez kuona wala kuelewa alichokiandika.
  3. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

    Ila cha kushangaza hao black american hawapendi kabisa kuitwa waafrika. Na pia ni rahis mno kwa mtu kutoka afrika kuwa na urafiki na whites kuliko hao black american. Watu weusi kweli tunalaana. Yaan wao huko kwao ukienda wanatutenga na kutuona sie ni kama tunawaaibisha. Wakati sie huku...
  4. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Je Dr. Shika atakua ameingizwa mkenge staili ya wa Nigeria?

    Ungesikiliza kwanza story yake ndo uje upost. Naona kama umekurupuka, hizo story za wanigeria ni tofauti na hii ya Dr Shika. Zile zinakuwa kama bahati nasibu au zari la mentali kwa lugha za kimtaan ndo wanakokupigia. Dr. Shika kutuma kwake pesa ni muendelezo wa episode yake ya huko alikokuwa...
  5. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Kuchi...

    haya mashindano labda ulaya huko! hapa bongo sijawah sikia wala hudhuria shindano la hadhi la kuku hao wa kuchi
  6. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Kuchi...

    hivi uko serious ama? na akikuwa mkubwa unamuuza bei gani? kuku ni kuku tu. hiyo 70,000 bado ni bei ya mbuzi. labda kama ufuge kwa ajili ya dawa.
  7. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Vipi kuishi na mume mkali kupitiliza?

    mkuu nimesoma comments zako nimekuelewa saana. yaani ni kama kioo vile, maana mie pia ni mkali mno. nikisoma unavyiandika ni kama naangalia zabia zangu kwenye kioo. ni kweli pia, mie ni mwepesi kusaidia watu. pamoja na ukali wangu lakin nimejigundua nina huruma saana. kuna kipindi nilikuwa...
  8. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuficha location yangu kwenye simu?

    Osama bin Laden alikuwa na usemi wake, "if you live like ur in the past, future will never find you". maana yakr usitumir simu wala internet wala technologia yoyote ya mawasiliano. hawatakukamata. kama huwez basi nenda kaombe msamaha yaishe.
  9. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mtihani utakaopitiwa na CHADEMA baada ya kumpiga chini Lowasa 2020

    habari wanabodi! nilimsikia mgombea wa CHADEMA/UKAWA kwa mwaka 2015 akisema kuwa atagombea tena katika chaguzi ya 2020. lakini pia katika moja ya maelezo ya mwanasheria mmoja wa CHADEMA bwana Peter Kibatala alisema Lissu anafaa/anatosha kugombea Urais. kiuhalisia kuelekea 2020, siasa inaenda...
  10. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2017/2018: Ukweli kuhusu kiasi kilichoongezwa kwa lita baada ya road licence kuondolewa

    pikipiki na bajaj ilishafutwa muda
  11. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Magufuli's government switching costs to citizens

    mtoa maada uko sawa kabisa. ila kuna kitu kimoja umesahau BASHITE. swala la bashite linaondoa kabisa kama si kumaliza jitihada za Mheshimiwa na kuonekana ni unafki. maana kama ni rushwa bashite yumo na ushahid umewekwa. kama ni madili nae yumo na ushahid umewekwa, sasa sielew mkuu...
  12. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa CHADEMA Arusha umepungua sana

    kwani umeambiwa ni kipind cha kampeni hiki? watu wanapiga kazi kweli. nenda urudi 2019 chaguzi ya serikal za mtaa na 2020 umalizie uchunguzi wako
  13. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Makonda mnamchukulia poa, msikilize hapa akiongea kiingereza safi kabisa

    kwaiyo channel ten wao bado wanarusha habari za bashite
  14. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea toka 1995, Hatimaye Lowassa apotezwa kisiasa

    kwa jinsi nionavyo mimi, Rais anamuhitaj saana Lowasa ili ashinde term ya pili. kama upinzan ukatokea kumbadilisha huyu basi tutakuwa na Rais wa kwanza kutawala term moja toka enzi za uchaguz wa vyama vingi kuanza
  15. mbishi sana

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    itapendeza kama na humu asiongelewe kabisa jwa mazuri au mabaya. kifupi asahaulike
Back
Top Bottom