Zitto ajilipua, tusimtose

Zitto ajilipua, tusimtose

During the JK era, the country was rotten to the core. Corruption has killed us. And we needed to exorcise the ghost of corruption. Tukahitaji mtu ambaye anaweza fanya major reforms in our entire system, akaja Magu. Na tunatakiwa tufahamu kila mtu ana mapungufu yake mengi tu cha muhimu ni kuvumiliana. Bado tuna changamoto nyingi sana kama nchi.

Tukirudi kwenye demokrasia, what many people think of democracy ni tofauti. Others think democracy as periodic voting la hasha. Democracy ina mambo mengi ndani yake. Labda yeye for now anaona in order to make things move in a full throttle, with steadiness that he want, that there are needs to limit freedom of political associations in the country. So tumpe muda, ngoja his first term iishe tuone.
Hahaha...Bro I don't think you know what you are talking about,...People are suffering on the streets,Tanzanian never experience something like this before and after independence,There is a lot of fears on the eyes of citizen,It is like living in the ghost country,you never know when it is your time to be adopted by "unknown people"...

It is scaring!!!
 
Safi sana zitto hakuna watu act kwa hiyo watumie hawahawa 2020 utajua cha kufanya.
 
Acha woga,sio kila mtu ni kunguru kama wewe,Mh Zitto ameshajitolea muhanga kuwakomboa watanzania,,,kwani unafikiri yeye hajui kama kuna watu wasiojulikana!!? wewe kama nani kuwambia watanzania Zitto aangalie!! msitishe watu, watu wamechokaaa,hali mbaya mitaani
Usiniite kunguru we shoga... Pambana na mabasha zako.
 
Hamna kitu. Kama ni hivyo, wangeshammaliza. Angalia anavyoruhusiwa kukagua shule na miradi mingine. Tizama anavyokosoa. Lakini hawi treated kama Tundu Lissu au John Heche au Sugu au Lema au Msigwa. Sidhani kama serikali ya sasa hivi itamruhusu Tundu Lissu kukagua miradi na kutembelea shule kama afanyavyo Zitto. Zitto alifanya hata mkutano wa kujadili makinikia etc. Bado kuna kila dalili kuwa anapata preferential treatment ukilinganisha na wanasiasa wengine wa upinzani. Ni kama vile anatumika ku-neutralize mambo kwa kutengeneza mazingira ya watawala kusema mbona Zitto anakosoa na hapati matatizo? Kwamba wanasiasa wengine wa upinzani wanapata shida kwa kuwa lugha yao mbaya. Lakini lengo kuu likiwa ni kudhoofisha upinzani na Zitto akiwa mshirika kwenye mradi huo.
Nakuelewa kiongozi... kuna kipindi baba ubaya alimfagilia sana huyu dogo
 
Usiniite kunguru we shoga... Pambana na mabasha zako.
Woga wako ndio umasikini wako,acha kukaa kwenye mitandao na kuanza kutisha watu.....,wacha wanaume wapambane na maisha,wewe kakae kwenye mkeka usubiri ubwabwa ule..
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Tatizo lako umejaa chuki binafsi na Zitto. Ndo mana huwez kuona wala kuelewa alichokiandika.
 
During the JK era, the country was rotten to the core. Corruption has killed us. And we needed to exorcise the ghost of corruption. Tukahitaji mtu ambaye anaweza fanya major reforms in our entire system, akaja Magu. Na tunatakiwa tufahamu kila mtu ana mapungufu yake mengi tu cha muhimu ni kuvumiliana. Bado tuna changamoto nyingi sana kama nchi.

Tukirudi kwenye demokrasia, what many people think of democracy ni tofauti. Others think democracy as periodic voting la hasha. Democracy ina mambo mengi ndani yake. Labda yeye for now anaona in order to make things move in a full throttle, with steadiness that he want, that there are needs to limit freedom of political associations in the country. So tumpe muda, ngoja his first term iishe tuone.

Sipingi maoni yako moja kwa moja hata kama umechanganya kiingereza na kiswahili bila sababubya msingi, sio mbaya umeamua kutuonyesha na ww sio haba kwa upande wa shule.

Turudi kwenye hoja ya msingi, wakati wa JK ilionekana kuna ufisadi mwingi kwa sababu aliruhusu uwazi wa serikali yake na uhuru wa vyombo vya habari. Huyu anaonekana anafanya mabadiliko kwenye mifumo lakini naweza kukuambia sio kweli, kwanza mambo mengi kwenye hii awamu yanafanywa kwa kificho na hakuna uhuru wa vyombo vya habari. Sasa hivi habari zinazotangazwa ni zile sana zinazoongozwa ba serekali. Hata maovu yanayotangazwa ni yale yanayoibuliwa na viongozi wa serekali ili kuaminisha kwamba serekali inafanya kazi. Mfano fuatilia matatizo yanayotangazwa ni yale yanayoibuliwa na waziri na mawaziri; wakuu wa mikoa na madc. Kama mifumo imebadilika mbona watu wanapiga tu mpaka viongozi wakubwa wafike ndio itangazwe? Migogoro ya ardhi bado ipo, ila nilimsikia kwa masikio yangu akikiambia kituo kimoja cha habari kwamba chenyewe kinaona habari mbaya ndio habari na kutolea mfano, kutangaza migogoro ya ardhi. Uliona Makonda alivyoitisha wenye migogoro walivyokuwa wengi? Kuna uwezekano saa hii upigaji ni mkubwa zaidi, lakini kutangazwa ni ngumu. Hapa huwezi kusema mifumo ameibadili wakati alichofanya ni kuzuia kutangazwa huo udhaifu.

Ukiangalia taasisi zote sasa hivi zinafanya sio kwa ajili ya kuwatumikia wananchi bali kumtumikia rais. Unasema labda ameamua kufanya hivi na kuzuia baadhi ya mambo kwenye awamu hii ya kwanza, lakini mbona amefanya hivyo kwa manufaa yake na sio ya taifa huku akihujumu waziwazi wapinzani wake? Huyu hawezi kubadilika na hata akipata awamu ijayo sioni akibadilika kwani sioni akifanya vizuri kwenye uchumi, na hapa ndio hasa anapogoma ukosoaji.
 
Akila na familia yake na watu wake ni sawa tu!!! Hata Mobutu aliwaaminisha wakongo kuwa afadhali yeye awe tajiri katikati ya maskini wakongo badala ya wazungu!! Akajenga jumba lenye uwanjwa wa ndege zake nyumbani kwao!! Alikuwa kama huyu!! Niwaulize kodi tunakusanya sana nini sababu ya umaskini? Tusifikiri kwa masaburi mkoloni mweusi ni fisi mbaya kuliko fisi mnyama

Hawezi kula peke yake. Wazungu hawatakubali. Ni ama ale na sisi wote - ambacho wazungu hawataki au ale na wazungu. Akila na wazungu wazungu watamlinda kama walivyo mlinda Mobutu na wengine.

Ukiona wazungu wanamchukia na kumhujumu mtawala wa nchi maskiin lakin yenye utajiri wa maliasili ujue kawabana. Lasivyo wana kulinda na kukusifia. Mifano IPO. Angalia chuki zao dhidi ya Gaddafi. Angalia walivyomlinda Mobutu.
 
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Bila mauaji hakuna ccm kabisa , nimemsikia Humphrey Polepole akimjibu Mbowe nikashangaa sana ! Hakika hiki chama kimekufa , nikajiuliza hivi huyu anayeongea kama walau anajua kusoma na kuandika .
 
SIASA NI DYNAMIC NA SIO STATIC,UNAENDA KULINGANA NA MDUNDO WA NGOMA.
Na ndio maana wenzenu walidata na mapigo yenu wakaamua kumleta magu,si mnaona anavyowahenyeshwa sa' style ya kucheza na magu ndo mwaona kumchamba ndo solution hahah hahah hah eti dictator uchwara,jibu mnalo kumbe mmeshindwa kwenda na mdundo wake;jamani hao wakongwe pigeni nao battle taratibu msiwe na jazba mkiwachanganya na wenyewe wanajua pa kutokea,jazba zinawatoa mchezoni.
 
Back
Top Bottom