Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,883
Salam kwenu wakuu.
Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.
Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.
Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.
uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.
watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.
hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.