Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

Mkuu kuna ukweli katika unayosema. Wanaamini gene ya mtu mwendo imejaa tabia ya uhalifu na kuvunja sheria.
Ni moja ya sababu za kukubali mwany wa migrants kutoka Africa kwenda Europe. Zamani wa Africa walifanya kazi ambazo wazungu hawakuzipenda lakini sikuhizi wanaona bora wa easterners wazifanye.
eastern European wanatupa challenges Sana sisi wabeba boksi kutoka mataifa mengine nje ya EU ama EEC. Wanapewa first priority Na hawabagui kazi. Kubwa lap Ni polish hizi njemba zinajituma Sana. Utawakuta kwenye chumba walundikana ili kubana matumiz. Huko kwao wamejenga Sana.

Wazungu vwako comfortable Sana kufanya kazi Na my light skin. Utakuta anamprefer muarabu hata Kama gaidi kuliko mwafrika. Tunatamani hata sisi tuanzishe biashara pizza kebab lakini utapata wapi wateja wakununua.

Ila ukikaa nao Sana kazini ukazoena nao wanakuheshimu nakuona tofauti Na jinsi wanavyojijengea imani potofu dhidi yetu.
 
Mkuu Hawa wa eastern block shule imepanda kinachowasumbua ni lugha tu, na hawachagui kazi, sema ma rapist na peodophiles kutoka eastern block wanawasumbua. Wanarape wajane wazee, wakifuatilia kesi wamakutacwalitoroka jela kwao kwa makosa hayo hayo.
 
eastern European wanatupa challenges Sana sisi wabeba boksi kutoka mataifa mengine nje ya EU ama EEC. Wanapewa first priority Na hawabagui kazi. Kubwa lap Ni polish hizi njemba zinajituma Sana. Utawakuta kwenye chumba walundikana ili kubana matumiz. Huko kwao wamejenga Sana.

Wazungu vwako comfortable Sana kufanya kazi Na my light skin. Utakuta anamprefer muarabu hata Kama gaidi kuliko mwafrika. Tunatamani hata sisi tuanzishe biashara pizza kebab lakini utapata wapi wateja wakununua.

Ila ukikaa nao Sana kazini ukazoena nao wanakuheshimu nakuona tofauti Na jinsi wanavyojijengea imani potofu dhidi yetu.
Wanatuona tofauti kisa rangi na features zetu. Pia wazungu wanaclassfy waarabu, Jews, Central Asians na eastern europeans kama wenzao yaani wote ni Caucasians.
 
wana tuzo zao kabisa za music BLACK ENTERTAINMENT AWARDS (BET AWARDA) hawa black amerika wapo real
Ila cha kushangaza hao black american hawapendi kabisa kuitwa waafrika. Na pia ni rahis mno kwa mtu kutoka afrika kuwa na urafiki na whites kuliko hao black american.

Watu weusi kweli tunalaana. Yaan wao huko kwao ukienda wanatutenga na kutuona sie ni kama tunawaaibisha.

Wakati sie huku tunawapenda na kuwasupport. Shenzy kabisa hao black americans
 
Hata wazungu wa Marekani hawajitambulishi kwa nchi za ulaya walizotoka. Haijalishi ulipotoka ila ukiwa raia wa Marekani we ni Mmarekani uraia wa ulipotoka unafia hapo. So ni sawa na hao weusi.
 
Halafu hizo nchi za Caribbean zenye weusi wengi kuliko wrupe ndio masikini sana na ushirikina umejaa huko.

Hao jamaa unakuta wana umasikini hata Afrika nafuu.

Hapo ndio unagundua kuwa watu weusi ni matatizo tupu.
mfano mzuri Haiti ambao wore Ni weusi.

Haiti inashare the same island Na Dominican republic. Katikati Ni mpaka. Lakini upande huo mwengine was nchi ya Dominican republic wanamaendeleo Sana japo Kuna weusi lakini wengi Ni Latinos Na whites. Waafrika wameintermarry Sana.

Fikiria mpo wote kisiwa kimoja ila nchi tofauti. Lakini Haiti kuna umaskini wa kutupwa.

2010 jumuia ya kimataifa iliawasamehe madeni yote. Lakini wakakopa Tena hayati Hugo Chavez aliwapiga jeki 2 billion dollars lakin Hadi leo hawajaweza kulipwa.

Ni waafrika ambao wanahitaji help they are weak physical and mentally.

Japo wanawLaumu wafaransa ndio wamewasababishia haya yote.

Wanadini Yao ya asili imechanganyikana Na ukristo Voodoo Yani full ushirikina. Wanapigana juju ya hatari wenyewe kea wenyewe.
48062BA500000578-5260595-image-a-28_1515710432137.jpg

48062A6900000578-5260595-image-a-30_1515710550442.jpg

View attachment 681288 View attachment 681288 View attachment 681289 View attachment 681289
Mimi nadhani shida ya Haiti sio uafrika wao ila nadhan uongozi na attitude ya wananchi wao. Wamejitawala kwa muda mrefu kuliko nchi za kiafrika ila wamezidiwa maendeleo na nchi nyingi za kiafrika.
 
Kwa kweli kupenda rangi nyeupe ni ulimbukeni mkubwa sana wa waafrika unaohitaji kupingwa (siwabagui watu weupe) coz inatokana na saikolojia ya mwafrika kudharau weusi. Ni kweli kila mtu anamapenzi yake ila lazma tutafakari dhamira ya hayo mapenzi. Hata huku afrika watu wanaona wasichana weupe ndo warembo na kudharau wale weusi. Unakuta mtu mama yake mweusi tiii ila hataki kuoa msichana mweusi. Kuna makabila wanatoza mahali kubwa kwa wasichana weupe(wasukuma).

Nikija kwa hawa watu wa pale Andaman ni kweli wapo ila population yao ni ndogo sana now yapata around 450 maximum. Hawa waliondoka afrika yapata miaka 20,000 iliyopita hata dna zao hazifanani na za waafrika ila zinakaribiana na za watu wa asia ya kusini huko karibu na wao wanapoishi. Jamii za watu weusi zipo kadhaa kusini mwa Asia hasa India kusini, Bangladesh, Mynamar, Malaysia, Papua Guinea na Waaboriginal wa Australia, ila hawa walitoka Afrika zamani sana kiasi kwamba kutokana na kutengana nasi wamekua tofauti sana nasi genetically.
mkuu ujue nakufuatilia Sana kwa karibu humu. Una exposure ya Hatari Na nondo unazoshusha humu Ni za nguvu. Najifunza kutoka kwako
 
Kwa kweli kupenda rangi nyeupe ni ulimbukeni mkubwa sana wa waafrika unaohitaji kupingwa (siwabagui watu weupe) coz inatokana na saikolojia ya mwafrika kudharau weusi. Ni kweli kila mtu anamapenzi yake ila lazma tutafakari dhamira ya hayo mapenzi. Hata huku afrika watu wanaona wasichana weupe ndo warembo na kudharau wale weusi. Unakuta mtu mama yake mweusi tiii ila hataki kuoa msichana mweusi. Kuna makabila wanatoza mahali kubwa kwa wasichana weupe(wasukuma).

Nikija kwa hawa watu wa pale Andaman ni kweli wapo ila population yao ni ndogo sana now yapata around 450 maximum. Hawa waliondoka afrika yapata miaka 20,000 iliyopita hata dna zao hazifanani na za waafrika ila zinakaribiana na za watu wa asia ya kusini huko karibu na wao wanapoishi. Jamii za watu weusi zipo kadhaa kusini mwa Asia hasa India kusini, Bangladesh, Mynamar, Malaysia, Papua Guinea na Waaboriginal wa Australia, ila hawa walitoka Afrika zamani sana kiasi kwamba kutokana na kutengana nasi wamekua tofauti sana nasi genetically.
Mkuu kwa population hiyo hakika 20 years to come watatoweka, binafsi nadhani UN hawana mkakati thabiti wa kuwalinda kama wanavyofanya kwenye maeneo mengine yanayotambulika kama Urithi wa Dunia.
 
Mm nimebahatika kuhishi nchi za West Africa Ghana,Nigeria,Senegal,Togo,Mali nk.Hawa jamaa walioko huko America wengi wametokea eneo hili.Kuna kabila la Wafulani.Hawa wanafanana sana na wanyarwanda na kila nikimuangalia mcheza Soka Ronaldinho au Willian wa Chelsea hawa ni pure Fuani people.Mwanamuziki Ashanti for sure ametokea ashanti,Ghana.Senegali ni warefu sana na kila nikiangalia wacheza mpira wa kikapu wa marekani.....Nigeria ni wazuri kwenye muziki na ukiangalia wanamuziki wengi weusi Marekani possibly wametokea hapa.Asante mleta mada.Inafundisha!
Bonge la somo!
 
Kipindi cha back to Africa movement led by Marcus Gurvey ,,wengi wa Black people hawakuwa willing kurudi nyumbani. May be inaweza kuwa chanzo cha ngozi nyeusi kutokujikubali wao na mazingira yao na kuona mazingira ya Ulaya ndio mazuri zaidi.
 
Back
Top Bottom