Recent content by mbezibeach

  1. M

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    MUNGU akuweke mahali unapostahili Sheikh Yahya.....Tunajua kila nafsi itaonja mauti... Niliwahi kumsoma na kumuelewa vizuri Sheikh Yahya...Katika kitabu cha "THE DARKSIDE OF NYERERE'S LEGACY by Ludovic S Mwijage...alikuwa ni zaidi ya mtabiri.
  2. M

    Dk. Mwakyembe amrushia Sugu kijembe

    "Sugu (Mbunge wa Mbeya Mjini) hawezi kuning'oa ubunge Kyela hata avae heleni masikio yote mawili, kwa sababu wananchi waishio Wilaya ya Kyela wanajua kupambanua, kuchana mistari na kuchochea maendeleo yao," alisema Dk. Mwakyembe." Mmmmmmmh huko Kuchana mistari ndio kufanya vitu gani??? Hizo...
  3. M

    Lema awasha moto Igunga

    Mpumbavu siyo tusi..nadhani ndugu yangu upo mbali sana na lugha ya kiswahili....ni kielezi kinachoonyesha aina ya mtu jinsi alivyo..ni sawa na mlevi..,mwizi...,mzinzi..,yote hayo si matusi.Labda ulazimishe wewe kuona matusi au labda iwe hivyo kwa kiswahili cha kirundi na kamwe si cha kitanzania.
  4. M

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Yaah ni kweli kabisa Analytical...halafu pia aondoke Mnyika,Lema,Lisu,Mdee nk....halafu Uenyekiti tumpe zitto..ukatibu Shibuda...makamu mwenyekiti...tumsajili makamba senior si ameachwa ktk usajili...na makamu Katibu mkuu tumrudishe Shitambala...hapo vipi?
  5. M

    Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

    Tumeshinda kwa Penalt...Ahasante Mungu
  6. M

    Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

    Daaah tunaingia kwenye mikwaju ya Penelt sasa
  7. M

    Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

    mpira umekwisha tunangojea muda wa nyongeza
  8. M

    Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

    Goli la la PILI TUMEFUNGA MFUNGAJI NI THOMAS ULIMWENGU
  9. M

    Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

    MMMMMH Mbona naona hiyo cheque kama Amount in words ina differ na Tarakimu au ni macho yangu..? Amount in Words inasoma ni US Dollar Two Hundred Thousand wakati amount in Figure inasomeka USD 300,000
  10. M

    CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba?

    Mkuu naomba unijuze huyo jamaa (TAMBWE HIZZA) alitoa mawazo gani? manake namfahamu huyo jamaa alikuwa mropokaji sana alivyokuwa CUF aliwahi kusema yeye hawezi kushindwa na Mvuja Damu lakini hatima yake yule mama mama Khadija Kusaga akamwangusha..
  11. M

    Ngeleja ameshindwa kujibu swali

    Wakumkomalia Zitto na Mwenzake Ngeleja si waandishi wa habari tu bali ni watanzania wote wazalendo, wana wenye uchungu na nchi hii nikiwepo mimi na wewe..mbona mwenzetu unawaachia waandishi wa habari jukumu zito namna hii..? Mmmh hadi mwaka huu ukaishe sijui huyo Zitto atakuwa ktk position...
  12. M

    Mashairi ya CCM yamemponza Cheyo?

    Alikuwa analipa fadhila za kuchaguliwa u-enyekiti wa kamati ya bunge.....Huyu mzee keshachanyikiwa...Binafsi nilifurahishwa sana na Mtatiro alivyopresent mada.
  13. M

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Kwenye Udini viongozi wako wa nchi unawaamini...lakini haohao walivyosema hawamjui mmiliki wa DOWANS ukawakataa....Hatuna Kiongozi wa nchi wewe.
  14. M

    CHADEMA yatangaza maandamano Kigoma

    CHADEMA HII HII AU KILE Chama Chetu Malumbano......?
  15. M

    CHADEMA yatangaza maandamano Kigoma

    ( Ndio maana nikawatahadharisha viongozi wangu wa Chadema kwa nia njema tu]
Back
Top Bottom