Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

Kwani mkuu hujui kuwa kila siku anadanganywa? Hana muda wa kutafiti kitu chochote zaidi ya kusafiri ya kuhudhuria sherehe za hapa na pale!!
 
Mnamuonea tu kwa Sababu ni Muislaam.

Mbona hata JKN alikuwa akidanganywa na kuropoka na hamkusema?

Mnashambulia sana Viongozi Waislaam, Wagalatia nyie!!!!

carelessness.jpg

MMMMMH Mbona naona hiyo cheque kama Amount in words ina differ na Tarakimu au ni macho yangu..? Amount in Words inasoma ni US Dollar Two Hundred Thousand wakati amount in Figure inasomeka USD 300,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom