Recent content by Mbekeche

  1. M

    Nafasi za kazi kiwandani

    Kamanda ni kweli unayosema, mfano kama mimi kwa kweli nimepigika na nataka kwelikweli kazi lakini hapo nilikwama. Tegeta - Ubungo 500, ubungo - mbagala 500, Mbagala - kisemvule 800 jumla 1800x2 =3200Chai 600 na Mchana 1000 jumla 1600+3200=4800 Possibly saving 2200x30=66,000 sijalipa nyumba...
  2. M

    Nafasi za kazi kiwandani

    Jamani tunapoelekea hawa wawekezaji watatunyonya mpaka basi. Na mimi nimefika kiwandani hapo kisemvule, mazingira tu yalitosha kunifanya nione nimepoteza nauli yangu pia vibarua niliowakuta walisema kabisa hapa kila siku watu wanakuja ila wanashindwa kutokana na maslai. Muda kuonana na Manager...
  3. M

    Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

    Tatizo wizara nao hawatoi majibu kwa huu mkanganyiko ili kuwaweka vijana ktk mstari, lakini mbona wamechelewa kutoa hivi?
  4. M

    Dr. Aloyce Nzuki: The new boss of TTB

    Turudi tena ktk huu uzi ili kujua jamaa amekosea nini, maana inasemekana hamna lolote la maana alilofanya.
  5. M

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    Ninasikitishwa sana kwa matusi yanayoporomoshwa na munjy1, mbona sioni haja yoyote ya kuporomosha matusi kama haya! Wakati mwingine kubari changamoto maana zitakujenga kumudu hali ambazo ni tofauti na matarajio yako. Watu tunadai haki yetu na wala hatuna la ziada, unapotukana ndio unaongeza...
  6. M

    CCM 2015 wajiandae kukabidhi nchi kwa UKAWA

    Ukawa mnaweweseka saana, hata mapekezi mliyoyapata ktk ziara za ukawa bado inaonesha hoja ya ukawa dhidi ya serikali bado halijawa chachu ya kupata waungaji mkono wengi. Mmeunganisha vyama vinne pamoja na shura ya maimamu ila bado watu wanahudhuria ni sawa kabisa na mkutano wa cdm tu, wakati...
  7. M

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Pamoja sana wakuu.
  8. M

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    Tena aliondoaga thread yake kwa mbwembwe humu jukwaani eti Mod wanambania na kuamua kuanzisha blog yake binafsi tena akasema hatajibu wala hatatoa taarifa yoyote kupitia Jamii Forums. Sasa amegundua kua shamba lake lipo JF maana blog lake halina watu ameamua kurudi hapa tena kwa thread mpya...
  9. M

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    Ndio dongle pekee inayotoa renewable akaunt duniani. Siwezi kumlaumu yeyote atakayenunua kwake maana kila m2 na mtazamo wake ila kinachouma ni kuwadanganya watu anapiga ela halafu anawageuka haswa wale wa g6 kwa kweli kutotupa akaunt mpya japo ipo down kama alivyo ahidi ni wizi kwa maana hata...
  10. M

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    Huyu jamaa munjy1 ni jambazi sio tapeli tena. Alianza na PD Proxy, ilipo buma akaanza kuwaaminisha vibaraka wake kua ata attack system data ya Zantel ili kulipiza kisasi kwa kua etisalat inayotoa internet kwa Zantel hawana tatizo ktk PD Proxy isipokua Zantel tz tu. Amekuja na g6 kwa kujifanya...
  11. M

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mkuu Ph-25 na wadau wanaoweza kunisaidia, nime add sattelite kitika receiver ya azam na kuweka TP kazaa ila niki scan naona majina ya stesheni nilizopata ila ktk channel list hazionekani. Nikajaribu kuwaka TP katika sattelite ya AZAM ile inayopata channel za azam bado ukisearch unapata channel...
  12. M

    Uchaguzi wa Malawi uwe fundisho kwa watanzania, 2015

    Mkuu Lizaboni umemaliza kazi.
  13. M

    File Langu Limepotelea Halmashauri, Nifanyeje?

    Huyu ticha hamna kitu kabisa, eti anaona kaonewa, eti wameniondoa ktk payrole sijui ndio anamaanisha payroll au? Hapo ndoa ametoka kuongeza elimu ila hajitambui je kipindi hicho ajaongeza?
  14. M

    File Langu Limepotelea Halmashauri, Nifanyeje?

    Bora serikali imeondoa udahili wa waalimu wenye division4 maana Mwl kama wewe inaonekana haujitambui kabisa, unawezaje kuondoka ktk kituo chako cha kazi bila ruhusa kisha ujione sio mtoro eti kwa vile ulienda kusoma? Inaonesha hata cheti uliiba tu.
  15. M

    Stara Thomas afunguka kuhusu mahusiano yake na the late Adam Kuambiana

    Jamani, kwa ukweli nilikua mamuheshimu sana Stara Thomas, kumbe naye ni walewale tu. Kujiheshimu ni pamoja na kuficha mambo yako ya faragha watu wasiyajue au wayajue lakini wasiamini. Ila sipati picha lile titi akiwa naked huwa anatokelezeaje!
Back
Top Bottom