Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
They are not serous at all,,,naamin we ni graduate,,japo una shida utajickiaje ukafka kule pwani na ukalipwa 5000 pa day,,cmkatishi mtu tamaa ila that iz a real situation,,,,pia mm nna shida ya kazi balaa kila siku nazunguka town ila kule nmeshindwaaa....Nimeshamueleza swala hilo la email haziendi kasema wanazishughurikia na anasema email ya pili ambayo ni tony-chen@qq.com zinaenda, lakini sijajalibu. Pia hezo nafasi za technician 20 ni kwa mtu wowote aliyesoma fani yoyote ya techician wanamuhitaji watamfundisha kutumia mitambo yao na mashine zao cha msingi kwamba awe ameshapitia mambo ya techician yoyote. Mwisho nasema mtu kama anaona utapeli asiende wala asitume cv. Mie sitajibu tena sms silipwi na hiyo kampuni. Nilileta uzi hapa basi mtu anayetaka afatilie mwenyewe.
Wanakera sana,,,komand za kijinga na wachina wao ,,,,vijana tusikubali kutumika hovyo,,we have our proffesionals,,lazma tuheshimiwe!..hatuwezi kuwa bei rahisi hivi,,,hata km tuna shida!..nliona bora nirud kitaa niuze hat maji!...