Dr. Aloyce Nzuki: The new boss of TTB

Turudi tena ktk huu uzi ili kujua jamaa amekosea nini, maana inasemekana hamna lolote la maana alilofanya.
 
The important thing here is not whether he is a good person or bad; this country needs people who can deliver whether they have a pretty face or not is neither here nor there!! Pretty/ ugly faces do not bring food on the table! Watu wanataka maisha bora sio uzuri wa sura bwana.

Pole sana, ki "english" kilikuja na meli, kukipata pia kinahitaji juhudi za ziada.
 
Teh Teh Iringa conection bana,siamini post zinazotolewa kimya kimya na mteuzi awe wa magogoni,hata kama mtu ana sifa zinapotea kwani mara nyingi huwa ni wa kupokea vimemo bana toka kwa wanasiasa kwa kuwa uteuzi umefanywa kisiasa zaidi,ushauri wa bwelele teuzi hizi zingekuwa zinafanywa na kampuni binafsi zilizobobea katika mambo ya utumishi na utawala,tulianzia uteuzi wa mkurugenzi wa NHC na sasa tunaendeleaaaaa

Hebu fafanua mkuu.
 
Yaleyale,hakuna jipya,wanaopewa madaraka makubwa ni wasomi,ambao kila kukicha wanatuangusha,atapiga hela ataficha kwenye "offshore account",zikimzidia atakula bata.

Kwa nini Mr.President asingefikiria kumpa nafasi mjasiriamali ambaye yuko successful kwenye field ya tourism,nimechoka na hizi doctorates ambazo ni "good for nothing."
 
hujui usemacho

jamaa amekua victim wa system iliyoharibika... he couldnt break through the "network"

wamemla kichwa coz he was the odd man out

tuishie hapo, ile bodi ina watu wanatumia midomo kufikiri... ni full mavocal na wanaangamiza bodi kimyakimya
 
Yaleyale,hakuna jipya,wanaopewa madaraka makubwa ni wasomi,ambao kila kukicha wanatuangusha,atapiga hela ataficha kwenye "offshore account",zikimzidia atakula bata.

Kwa nini Mr.President asingefikiria kumpa nafasi mjasiriamali ambaye yuko successful kwenye field ya tourism,nimechoka na hizi doctorates ambazo ni "good for nothing."
Acha wivu kasome na wewe hiyo Doctorate.
 
Back
Top Bottom