Recent content by Mbalo

  1. Mbalo

    Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    Tunakusubiri uoe ,ndo utapata majibu , ya swali lako
  2. Mbalo

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hapo tayari na wewe umeshakosea kumnyoshea kidole mtumishi wa Mungu ,nakupa siku chache uombe msamaha [emoji14] [emoji14]
  3. Mbalo

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mawazo yako ni uovu mbele za Mungu
  4. Mbalo

    Wakati wa mwisho ndo umewadia?

    Mwisho bado ,ila endeleeni kuwa tayari
  5. Mbalo

    Tamko la Vyama vya Siasa kufuatia hali ya kisiasa nchini. Vyaipinga operesheni UKUTA ya CHADEMA

    Sasa wanataka kikao kiitishwe na nani ? Na kisipoitishwa nini ushauri wao kama vyama vya siasa ?
  6. Mbalo

    PLAN A: Kuelekea Sept 1, Operesheni UKUTA vikosi vimepangwa hivi

    Ivi yule aliyemuua mwangosi alikuwa na cheo gani vile !!!
  7. Mbalo

    Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

    Umetumwa na nani ?
  8. Mbalo

    Tundu Lissu baada ya Kisutu, atarejeshwa Singida kwa mashtaka mengine ya uchochezi

    Sasa hapo ndio umeongea nini [emoji15]
  9. Mbalo

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Nyie team work yenu iko vizuri ee
  10. Mbalo

    Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

    Kweli nimekubali Lowasa anawanyima usingizi ,hahahaa
  11. Mbalo

    Kamati kuu CCM yakutana kupitisha jina la mwenyekiti mpya

    Kwa hiyo ,kikishakua chama bora Afrika
  12. Mbalo

    Shemeji yangu ananitaka

    Acha tamaa ,za kijinga wewe
  13. Mbalo

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Mwenzao Museven alibadilisha katiba akaweka sheria kali ,lakini hapa kwetu kwa katiba hii clouds watashinda .
  14. Mbalo

    Uhuru kwa palestina:

    Wamepewa kibali cha kufanya hayo maandamano ? Ivi hayo ni maandamano ya dini au siasa !!!
Back
Top Bottom