Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,660
- 58,999
kuna maandamano makubwa ya vijana wa Makamo wamebeba mabango yaliyoandikwa uhuru kwa Palestina..(Ilala Boma). Nadhani ni ya kupinga vitendo vya mashariki ya kati.
Weusibwa afrika.. Kuna vitoto vya kiarabu vipo kwenye heicher wengine ni waafrika.. Nimeshindwa kuwapiga pichaHao vijana ni waarabu au?
Yatakuwa ya kidini wana escort ya polisiWamepewa kibali cha kufanya hayo maandamano ? Ivi hayo ni maandamano ya dini au siasa !!!