Ingia pm Kuna katigopesa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] mara nying naonaga comment zako za kupiga yowe
Unacho ogopa ni nini sasa,,,mi nika jua unafurahia maisha mema ya mbinguni yasiyo na magojwa mateso wala hata kifo,,lakini kama hautendi mema hapa duniani lazima uogope...Leo kuna video nimeiona wanasema imechukuliwa Israeli wiki hii, mawingu mfano wa pete ilikua inatembea angani na kuna sauti kama za tarumbeta zinasikika..
Duuuh!
Sasa nasikia tukio kama hili lilitokea hapa kwetu ila ilikua usiku na kuna watu waliliona nalo lilikua mfano wa duara ila katikati kulikua na nyota tatu, lakini kama kawaida yetu watanzania tunashangaa tu sidhanni kama kuna ambae alirekodi tukio lile japo ilikua usiku na watu waliona baadhi.
Jamani mnajua Israel na historia yake sina haja ya kuongea sana kwa wale wakristo wataelewa vizuri.
Tujiandae. Binafsi nimeogofya! Hio video nimeiangalia mara moja tu. Japo ninayo katika simu nimetumiwa leo.
Sawa.Mambo ya hallucination hayo,mtoa mada embu zinduka usingizini,toka kwenye hizo hallucination zinazokusumbua!!
Hahaha haya bwanaIngia pm Kuna katigopesa mkuu
Ni kweli mana niko eneo baya napiga heinekenUnacho ogopa ni nini sasa,,,mi nika jua unafurahia maisha mema ya mbinguni yasiyo na magojwa mateso wala hata kifo,,lakini kama hautendi mema hapa duniani lazima uogope...
Ofkoz mkuu.Only strong will survive