Baada ya kupanga kuvua gwanda na kuamua kuvaa kijani sasa naweza kuhoji bila wasiwasi maaana ukiwa ndani ukihoji unaitwa msaliti kama dk mihogo
Iv Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA?? ana cheo gan? Alichaguliwa na nani? Alipigiwa kura na nani? Akapitishwa na nani? Na kuapishwa na nani?
Maana kila vikao vya chama yupo na tena anakaa meza kuu na viongozi wakuu wa chama waliochaguliwa kihalali!! Ananipa wakati mgumu sana.
Siku hizi Mbowe anafata matamko ya Lowasa hata kama hayaendani na itikadi za chama hiki ivi Lowasa ni nani ndani ya chama?
Najua hakuna mwenye jibu na wote mtakuja hapa kunitukana lakini pia mjiulize iv hoja na ushawishi unafanywa kwa matusi na fujo??
Back to CCM