Acha kumsanifu; mwache akachunge mifugo yake, au tumuitie zuhura yunus aanze kumuonea.
Mwambieni aliyeandika hii post, asiwe mjinga kama Lowasa..Lowasaaaa...hazina ya nchi yetu. Aluta continua.....mbele tembea na lowasaaa
Msajili anaogopa kutumbuliwa😀Bora huyu alizungumza na Zuhura yunus mwingine aliingia mitini kabisa
lissu for 2025......N vigumu kunshinda sitting president kwenye uchaguzi 2020...mwache lowasa amalizane na magufuliKupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!
Umetumwa na nani ?Kupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!
Maagizo kutoka juu!!!Umetumwa na nani ?
Mkuu na umri wako wote huo bado una kadi ya chama!?Unamaanisha ccm?, maana Chama pekee chenye mifugo ya ng'ombe Ni ccm
Mkuu na umri wako wote huo bado una kadi ya chama!?
Kutoka Makanisani mpaka.kwny Night clubs.Edward lowassa akizungumza na viongozi na wafuasi wa chadema toka ngazi za chini kwenye ukumbi wa Billicanas asubuhi ya leo
View attachment 376921 View attachment 376920
Usijitoe ufahamu dada yangu!Kupoteza muda na pesa bure tu !!nashauri njia iliyotumika kumkata Dr slaa itumike pia kumkata Lowassa 2020 chama kipate mgombea anayevutia watu kama Lissu!!!
usisahau pia hao waliomtukana ndo wanaompamba leo mpaka kufikia hata wewe kuvutiwa nae.Mwanasiasa adimu huyo..Wamemsema sana,wamemtukana sana. Lakini kutokana na hekima na busara alizo nazo anasonga mbele na hawajibu chochote. Mbaya sana unatumia fedha kumsema mtu kwenye media halafu hajibu kitu. Raisi wa mioyo ya watanzania walio wengi. Love u my president
Chama chetu cha wababe wenye ndevu(kambale)Chama gani maana hata Chama cha walimu Ni chama
Kweli Mwenyekiti ni mtambo..Edward lowassa akizungumza na viongozi na wafuasi wa chadema toka ngazi za chini kwenye ukumbi wa Billicanas asubuhi ya leo
View attachment 376921 View attachment 376920