Recent content by Mbala-mwezi

  1. M

    Haya ndiyo yatakayoiua CHADEMA

    Kitu pekee kinachoimaliza CHADEMA ni UCHAGA-chini ya MBOWE.....hakuna kingine....we jamaa alichana maazimio ya kikao kuhusu mapendekezo ya viti maalumu akapeleka yake, kisha akamsukuma Slaa akatetee kikao kilichofuata....kidogo wamtimue, mbowe akaingilia kuomba radhi....NA HUU NDIO UDHAIFU WA...
  2. M

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Jamani mnataka twende chama gani?...ccm ndo imekufa tayari, na JK ameita mawaziri wote Ikulu leo...nadhani anakwenda kueleza namna serikali ilivyoshindwa chini yake...Ni kweli kuwa mbowe ni tatizo...lakini ndio mwenyekiti wa chama. kwanini msisubiri amalize miaka yake minne? kwani katiba ya...
  3. M

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    NIKATIKA KAZI-"wazee hivi hili swala la posho mbili kwa wabunge limebeba uzito kuliko lile la richmonduli, EPA nk??? maana naona saa hizi attention inahamia pande nyingine. mimi naona waliendeleze kwanza la richmonduli , halafu lije la posho mbili." Watu mnakosea sana. huu mjadala wa posho...
  4. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Mkuyu mkubwa nakubaliana na wewe..lakini punguza hasira. binadamu ni binadamu, hata kama ana akili chini ya mbuzi, bado anastahili kupewa heshima ya ubinadamu. mwenyewe nilikuwa nakereka na hawa jamaa walioanza kuweka michango ya chuki dhidi ya zitto humu.. Tupende tusipende zitto ni kijana wa...
  5. M

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Asema iwapo ni mtu safi kwanini anaogopa Takukuru? Asisitiza malipo ya posho mbilimbili ni ni wizi na ufujaji Spika Sitta aendelea kuwatetea wabunge wa kundi lake Waziri Marmo awageukia Takukuru, awatetea wabunge Na Mwandishi wetu Tanzania Daima, Oktoba 30,2009 Mzozo unaohusu wabunge kupokea...
  6. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    MASANILO na MKUYU MKUBWA ondokeni kwenye mjadala huu.,,,,mana mwanzoni nimeona mkuyu mkubwa unajenga hoja, ghafla naona umeendekeza upuuuuzi wa MASANILO
  7. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Mimi nadhani unamwonea zitto...hilo sio jibu la jeuri...ni jibu la utayari wa kuwajibishwa kama anakwenda kinyume....kwasababu WRONG+WRONG=RIGHT?....sasa ulitaka akubembembeleze badala ya kujibu hoja?...acha zako hapa! jenga hoja kiume!
  8. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    1. Nakupongeza Mh Zitto kwa ujasiri wa kukubali PCCB iwachunguze wabunge ilhali wewe ni mmoja wa wabunge. Hiyo ndio misimamo ya viongozi tunaowataka...nakumbuka Nyerere aliwahi kupunguza mshahara wake kabla hajaruhusu kupunguza mishahara ya mawaziri,nk....uongozi ni kuwa tayari hata kusimamia...
  9. M

    Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

    TUsisahu kitu kimoja hapa...mwakyembe anasema kuna mambo walificha kulinda heshima ya serikali..wasiwasi wangu hili scandal ni la serikali nzima ya JK....mana kama kuna vitu vilifichwa kulinda heshima ya serikali, ni vitu gani hivyo wakati vilivyotolewa tu vilitosha waziri mkuu kujiuzulu...
  10. M

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    MIMI NAAMINI TANZANIA DAIMA INAYOMILIKIWA NA MBOWE HAIAMINI KATIKA SIASA ZA CCM NA MGAMBO WA UFISADI...KWA STORI KAMA HIZI, GAZETI HILI LINATHIBITISHA HOJA YA CHADEMA KWAMBA CCM NI WALEWALE.....HAWA MGAMBO WA UFISADI NI WASANII TU KAMA ALIVOFANYA USANII JK KWA MBWEMBWE ZA ARI, NGUVU NA KASI...
  11. M

    Uchaguzi wa mitaa, chadema yafanya kweli kigoma

    Hakuna chaguzi ngumu kwa vyama vya upinzani kushinda kama hizi za mitaa. Hata hivyo, katika hali inayoonesha mwanga mpya, majimbo matatu ya mkoa wa Kigoma yanaonesha kukubalimabadiliko ya kweli na Uhuru wa kweli...haya sio mengine.. kwanza ni jimbo la Kigoma mjini ambalo CHADEMA inaongoza kata7...
  12. M

    Congrats Zitto Kabwe!

    Hongera Mh Zitto....kweli umewaacha mbali..wa kwanza zitto 25%, anafuatiwa na Kilango na Slaa 8%? afu ndo Mwakyembe 7%..mwendo mdundo dogo....Mkandala hajaelewa maana ya 25% katika utafiti huu...ni kwamba ukijumlisha alama za wabunge wote hapo kwenye chart unapata100%.....kwahiyo katika...
  13. M

    Zitto Arejea Ujerumani kwa PhD

    Wakati mjadala wa mgawo wa umeme ukizidi kushika kasi, na jana kijana Zitto kuamua kuvunja ukimwa kwa kutoa mapendekezo ya aina mbili; kushinikiza IPTL iwashe mitambo wakati mazungumzo yanaendelea..na kutaifisha mitambo ya Dowans....hotuba ambayo bado imetanda kwenye mijadala Tz kuanzia ndani ya...
  14. M

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    zitto ni mbunge? PM? au Rais wa tz?..siku zote hapingi tu...anakuja na mapendekezo...Bravo Zitto...nadhani ndio maana Rais wa ujerumani, Horst Korhler mwaka 2006 ukiwa na mwaka 1 tu bungeni akakuteua kwenye timu ya washauri wake..unakwenda vizuri...mijadala ya namna hii inakujenga...
  15. M

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    TAMKO LA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NA MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MASHIRIKA YA UMMA, NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KUHUSU MGAWO WA UMEME NCHINI. COURTYARD HOTEL, DAR ES SALAAM OKTOBA 15, 2009. UTANGULIZI Kwanza niwashukuru ndugu zangu wana habari kwa kukubali kuja kunisikiliza, hatua...
Back
Top Bottom