Congrats Zitto Kabwe!

Mie naona kuna umuhimu wa wananchi wanaopiga hizi kura kupewa darasa kwanza,ili hata hayo matokeo yawe na maana kwa jamii inayoyapokea
 
Mkandara,
Inawezekana unapoint lakini unashindwa kuchallenge hiyo ripoti kwa hoja kama zilivyotumika humo. Kumbuka kuwa huu ni utafiti na wala siyo hisia za mtu, kwa hiyo basi ninakushauri go back na kuchambua vianzilishi, viashiria nk vya utafiti ili ujenge hoja zenye nguvu. Kukataa utafiti bila ya kufanya utafiti sidhani kama ni sahihi.
Mkuu wangu sijakataa utafiti huu..sidhani kuna sehemu nimekataa utafiti huu isipokuwa nimesema haujengi kitu cha kufikia kumpa pongezi Mh. Zitto. Ni sawa na lugha isemayo mshindi ktk kundi la Wajinga ni Mh. Zitto!

Kama nilimwelewa vizuri Invisible, utafiti huu unaonyesha wazi jinsi tusivyokuwa na wabunge.. Kipengele cha kwanza ktk kila sababu kimewahusu wananchi na mtazamo wao kuhusiana na wahusika, wao wamejibu kutoridhika au kutofahamu kinachoendelea kwa asilimia sawa na sifa kubwa uya kila mbunge.

Ndio maana nikasema Zitto kupata asilimia 25 sii sifa hata kidogo, haya tazama waliofuata.. labda kwa kutofahamu kwangu nimeona pia kuna kipande cha kwanza kabisa kikiwa na herufi N kisha zikafuata nambari kama vile ni idadi ya waliopiga kura hizo.. sina hakika. lakini all in all hakuna kiongozi hata mmoja aliye score above 50.
Kwa hiyo mashambulizi yangu sii kwa takwimu hizi isipokuwa kichwa cha mada kulingana na takwimu zilizotolewa!.. takwimu hizi jhazimtendi haki Zitto ha wapiganaji awengine hata kidogo.
Inabidi uwe makini sana kuelewa Invisible alikuwa na maana gani.
 
Hongera Mh Zitto....kweli umewaacha mbali..wa kwanza zitto 25%, anafuatiwa na Kilango na Slaa 8%? afu ndo Mwakyembe 7%..mwendo mdundo dogo....Mkandala hajaelewa maana ya 25% katika utafiti huu...ni kwamba ukijumlisha alama za wabunge wote hapo kwenye chart unapata100%.....kwahiyo katika kinyang;anyoro cha hiyo 100% zitto katoka na 25% wengine wamegawana kilichobaki..ndo mana killango kapata 8%, mwakyembe&%
 
Back
Top Bottom