Recent content by mazoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Kijana rejea point yangu.Hapa sio personality. Wote uliowataja hawajajihusisha na large scale Corruption. Tunasema Tanganyika ijayo tuiclean kutoka na watu kama hawa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani ni hatari: FISADI au SHOGA kwa maisha ya Mtanzania

    Jamii iko tayari kuwahakumu mashoga./wasagaji (whatever you call them) kwa matendo yao. Binafsi i dont care mambo yao! Ni life style yao. Jamii yetu inawahusudu wale wanaoiibia serikali.Billions ziko Uswisi & Uarabuni hata Sauzi. Vitanda vya hopitali,shule ngapi zingejengwa na pesa hizi za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona simsikii Dk. Shein akizuru Ulaya? Au hajui kingereza?

    To be fair ,viongozi toka Z'bar ,toka zamani ni waadirifu. MAFISADI wote ni toka Tanganyika,nini sisi Watangayika inabidi kuwa sort out
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Huyu mtu haoni aibu kabisa dhamira yake ya kuwa mgombea wa uraisi (CCM) Kwa sisi old school,tunakumbuka 1995 Nyerere hakumkopesha huyu jamaa na kumwambia "Ni tajiri kuliko umri wake". La Nyerere watu wangeweza kumsamehe. Come RICHMOND scandal ,that was bad and bad .Lakini kuna watu na akili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza yakataa kuiuzia silaha israel

    Wana wa Israel,lazima wakae chonjo ni udhalimu wa Kiarabu.Itikadi kadi yao tunaiona bongo. Utoaji meno bila ganzi ,kutoboa jicho la mtu etc. Hizi ndizo misingi ya sharia
  6. M

    JamiiForums Tanzania UK na US katika mkakati wa kuichukua nchi ya Syria.

    wawaache wachinjane wao kwa wao,maana imani yao ni ya AMANI
  7. M

    JamiiForums Tanzania White House cancels Obama's African safari after plans are revealed to include military SNIPERS!

    Tunazungumza facts! Kenya hawezi kwenda kwa sababu atakuwa anakubaliana na uongozi wa sasa,ambao wako indicted. Unakumbuka zaidi ya watu 1000 walikufa kwenye vurugu za uchaguzi wa mwanzo? Tuambie serikali unayoishabiki imeua wananchi wangapi Mtwara?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Ujambazi upi?Kila kabila lina ujambazi. Fisadi ni jambazi pia(wenye hella Uswisi,Dentist wa Tembo,ma crooks wa EPA ,Meremeta & Richmond wote ni majambazi pia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Kama kabila langu kubwa lingekuwa na mantiki ya Wachaga ,nchi hii ingekomboleka zamani. Nilisoma O-level mkoani Kilimanjaro.Nilistuka kuona majumba makubwa migombani,kwa mara ya kwanza niliona TV Moshi. Mchaga popote alipo iwe Musoma ,Mtwara atajenga nyumba nzuri tuu. Tusiwaonee wivu,wao na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Nilisia hawa wameoa Wachaga ni kweli? Sumaye Mkapa Warioba Salmin Amour 'Komando ' Ni kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania White House cancels Obama's African safari after plans are revealed to include military SNIPERS!

    1.Atakuwa anahalilisha human rights abuses zinazoendelea hapa nchini,ambapo vyombo vya usalama vya serikali vina husika kabisa. Mfano: Utesaji wa Absalom Kibanda Utesaji wa Dr Ulimboka Mauaji ya mwandishi wa habari Mwangosi Ukandamizani wa vyama vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kinana amburuza Msigwa kortini

    Ni kesi ya Msomali Vs Mtanganyika!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Rais Aboud Jumbe kutimiza miaka 93

    Happy Birthday Mzee Jumbe! Najiuliza mbona anakaa Tanganyika na sio Zanzibar?
  14. M

    JamiiForums Tanzania I care about Ukara&Ukerewe than ZANZIBAR

    Kila kabila kuna uchawi wa aina!Kwa nini watu wanakwenda B'gamoyo?Wachawi wengi wanaambatana na umasikini. Ni Watanganyika wenzetu (Ukara & Ukerewe).
Back
Top Bottom