• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2,012
Points
1,195
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
2,012 1,195
Watanzania siku hizi tumekuwa watu wa hovyo sana,hatufanyi tafiti kujua huyu kafanikiwa kwa nini,nifanye nini ili na mimi nifanikiwe km yeye au zaidi yake badala yake tunatafuta data zetu kijiweni na kuanza kuwaonea wengine gere,km wachaga wamefanikiwa kwa juhudi na maarifa yao wapongezwe na sio kubezwa kila uchao,tuache siasa za udini,ukanda na ukabila cuz zitaliacha taifa hili vipande vipande.
Nakupa pole ndugu kwa kuwa mtumwa wa PESA,unaongelea mafanikio bila kujali yanakujaje???' nakushauri kafanye utafiti ni makampuni ya watu gani yanayoshinda tenda za serikali kila zinspotangazwa?? Ukishapata jibu, fanya utafiti ni kwa nini,,,,,kwa taarifa yako ni kwamba,, WACHAGA WALIOKO SERIKALINI WANAHAKIKISHA WACHAGA WENZAO WALIOKO MTAANI WANAFAIDIKA NA FEDHA ZA SERIKALINI KUPITIA UPENDELEO MAALUM. Ni systematic rasism
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Acha wivu wa kike mkuu, haupaswi kuwahukumu kwa hayo uliyosema hapo, kumbuka hata upande wa elimu wako juu sana kuliko unavyofikiria, ukitaka nenda tupale mlimani, uangalie Maprofesa, ma doctor, na wahadhiri mbalimbali uje uniambie je wanapendelewa? Wanafanya sana kazi, maduka makubwa na madogo karibu yote ni yao!acha wivu huo..vitengo vingi wamejaa kutokana na elimu zao.
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this
 
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
3,191
Points
2,000
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
3,191 2,000
nackitika sana kuona thread za namna hii! mwafrika ni mtu wa hovyo sana.. (nikiwemo) yani hatukosi sabab za hovyo kwenye kila ki2, na imani baada ya zanzb itafuata kaskazni... chuk za kike sana.! kaz ni kuchonga mishale, utasoma lini? jenga lini? kaz lni? mjungu tu.... kuna zezeta mmoja amewah kusema rais hatatoka kaskazni...hovyo tu...hakuna m2 amechagua kuzaliwa alipozaliwa, it just happen...! kuna wabunge majinga pia yanapigana vita iyo iyo...ovyo tu! kwanin unambagua mtu kwa namna alivyo? na kwa taarifa yao wachek na list ya TCU, wachaga ? wahaya? nyakyusa? hehe? bena? kinga?pare? vp wengine?... hard working pays! tusubir tuone! kwa takwim chache tu.. 5% ya wabunge wote ni chaga, waliingiaje hapo? wanakamata kuanzia juu mpaka mama ntilie .. sasa wanapendelewaje hapo? kina manka wanauza baa kina mm wanauza kxx bado ni kupendelewa? wamachinga.. etc! tuachane na akil za kinduza kama nep yauye! tuijenge nch yetu.. nina iman vita vs wachaga na kabila jingine lolote ni kuliangamiza taifa, waulizeni wakenya..
 
T

The_Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
217
Points
195
T

The_Analyst

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
217 195
Salaam,

Personally si-support topic hizi za ukabila bcoz in the long run hazijengi ila zinaongeza kujengeka kwa hisia za kikabila kwenye jamii.

Naamini "Wachagga wa Ukweli" na wenye Mafaniko ya Ukweli hawadiscuss ukabila na mafanikio yao binafsi in public. i.e. hawana majivuno. Kwa sababu mafaniko unayoyapata hayatokani na kabila ulilotoka bali ni jinsi gani umepata na kutumia fursa pale zinapojitokeza.

Baada ya kusema hayo ningemuomba Moderator Aondoe Hii Topic.

Asante.
 
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,873
Points
2,000
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,873 2,000
popote utakapokwenda / chochote utakachofanya ... NEVER TRUST MCHAGA!! waogope kama wanigeria
 
K

kissimba-kg

Member
Joined
May 24, 2013
Messages
8
Points
0
K

kissimba-kg

Member
Joined May 24, 2013
8 0
In realty wachaga wana tabia ya undugulization,kama mchaga akiwa top sehem yeyote bac ujue 60% ya wafanya kaz watakuwa wachaga dats why nw dayz wa2 awatak kuwapa madaraka makubwa wachaga kutoka na tabia yao hyo..
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Ukienda sehemu yoyote nchini Tanzania ukakosa mchaga, eneo hilo halifai kuishi mtu(Jakaya Mrisho Kikwete) wachaga wameenea kila kona ya Taifa letu.. Wanafanya kila biashara inayofaa. Wengine mnalala kazi kulia lia...kule kijijini kwetu ngara KunaDuka la MANGI!!!!! Jamaa hawachagui
Nakupa pole ndugu kwa kuwa mtumwa wa PESA,unaongelea mafanikio bila kujali yanakujaje???' nakushauri kafanye utafiti ni makampuni ya watu gani yanayoshinda tenda za serikali kila zinspotangazwa?? Ukishapata jibu, fanya utafiti ni kwa nini,,,,,kwa taarifa yako ni kwamba,, WACHAGA WALIOKO SERIKALINI WANAHAKIKISHA WACHAGA WENZAO WALIOKO MTAANI WANAFAIDIKA NA FEDHA ZA SERIKALINI KUPITIA UPENDELEO MAALUM. Ni systematic rasism
 
H

hargeisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
550
Points
0
H

hargeisa

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
550 0
Vipi wewe si mbaguzi

Ubaguzi wa rangi dini kabila vyote ni dhambi.

Wewe ni mbaguzi sana wa dini nimefuatili thread zako sana
 
H

hil2

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
42
Points
70
H

hil2

Member
Joined Dec 21, 2012
42 70
ni nani asiyepafahamu dukani kwa Mangi, Bwashee, au Masawe hao ndo watu wenye maduka mengi kila kona, kila mtaa, nenda vyuoni kati ya watu 10 wanne wanatoka Kilimanjaro (mpare+mchaga) unatarajia nini baada ya miaka 5, maofisini
Nakupa tano mkuu. Watu hawashtuki wanang'ang'ania kujiridhisha na concept ya upendeleo. Ukitoa fursa za upendeleo kwa wanawake ujue wengi wao watatoka pia huko. Stuka!
 
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,677
Points
1,225
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,677 1,225
hapana shida ndugu utakuwa unatoka Tanga au mikoa ya pwani maana ndo mikoa ambayo inaongoza kwa majungu badala ya kujikita kwenye kufanya kazi, angalau sisi wasukuma tunajitutua

Nakupa pole ndugu kwa kuwa mtumwa wa PESA,unaongelea mafanikio bila kujali yanakujaje???' nakushauri kafanye utafiti ni makampuni ya watu gani yanayoshinda tenda za serikali kila zinspotangazwa?? Ukishapata jibu, fanya utafiti ni kwa nini,,,,,kwa taarifa yako ni kwamba,, WACHAGA WALIOKO SERIKALINI WANAHAKIKISHA WACHAGA WENZAO WALIOKO MTAANI WANAFAIDIKA NA FEDHA ZA SERIKALINI KUPITIA UPENDELEO MAALUM. Ni systematic rasism
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Hivi wewe kama umefungua kampuni yako ,utaacha kuwaajiri ndugu zako kama wana sifa? Utawaacha wataabike eti!jamaa wanabebana kwa uwezo siyo unafki wako, mfano ana duka huko mjini anamleta mdogo wake anamweka baada ya miaka 3 anamfungulia la kwake je hapo vp?
In realty wachaga wana tabia ya undugulization,kama mchaga akiwa top sehem yeyote bac ujue 60% ya wafanya kaz watakuwa wachaga dats why nw dayz wa2 awatak kuwapa madaraka makubwa wachaga kutoka na tabia yao hyo..
 
ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Messages
1,187
Points
1,225
ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2009
1,187 1,225
Huu ndio ukabila wenyewe sasa kwani wachaga ndio kitu gani kwenye maisha yako ukiangalia kila kitu kwa mtizamo wa kikabila unafilisika mawazo kabisa Kweli wachaga ni Tatizo au wewe mwenyewe? Na huyo anayeona uchaga wake ni dili ni mkabila mfilisi tuu hana lolote aende zake ujinga wa kuwaza kikabila waachieni wavivu wa kufikiri kama mimi ningekuwa admin ningeondoa hii kitu ninekereka sana.
 
More Tiz

More Tiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Messages
2,233
Points
1,195
More Tiz

More Tiz

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2013
2,233 1,195
Kwa wenzangu wachaga Kamwe msikatishwe tamaa na kelele za wabinafsi wanaopenda kula vya bure. Binafsi nimefurahishwa na kasumba ya wachaga hasa katika juhudi zao za kutafuta maisha bila kujali chochote.

Hebu tuangalie Tanzania ni Kabila gani ambao wana ujasiri wa kufuga dume la ng'ombe tena kwa kulikatia majani ili baadae limsomeshe mtoto shule?, Ni kabila gani Tanzania wana ujasiri wa kila mwisho wa mwaka kukaa kama Famili na kurudi kwao kwa ajili ya kuelezana nini kila mmoja amefanya na maendeleo gani ameyapata?. Ni kabila gani Tanzania lenye kasumba ya kuweka kihamba kwa ajili ya watoto wa familia yao?, Ni kabila gani Tanzania lina ujasiri wa kumlaza nje ya nyumba aliyefikia umri wa kuchuma na kujenga kwao halafu hakujenga?, Ni kabila gani Tanzania lina mikakati ya kujenga kwao pamoja na kuwa lina maisha sehemu nyingine ya nchi?

Binafsi nimependezwa na mipango ya muda mrefu na ufuatiliaji wa maendeleo ya kila mmoja katika familia kila mwaka kitu ambacho watanzania wengine hatuna kasumba hiyo, na hicho ndicho kinachowafanya kila mmoja kuwa na umimi.
Pia Wengine wengi tutakuwa ni mashuhuda wa wazi kuhusu mambo ya nguvu za kiza (Kichawi) katika mikoa mingine utasikia kila siku kuna mapya "Mara watu wachinjwe, Mara wazikwe hai, mara wanyofoe viungo vya wengine kutafutia mali, Mara shule zifungwe kwa watoto kudongoka mashuleni, n.k"

Hayo yote yanarudisha nyuma maendeleo ndio maana utakuta hao wote wanoongea wakirudi kwao japo kuwekeza kidogo utasikia washakufa, ndio maana wanaogopa na kuishi uhamishoni na kuogopa kusaidia ndugu zao wengine kwa imani hizo za kishirikina.

Kuna mengi ya kuelezea jinsi ninavyowaona wachaga maisha yao yalivyo laniki niishia hapa kwanza.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Mkuu wangu, sasa kama Kilimanjaro zinakarabatiwa shule 104 kati ya shule 300 na mkoa mwingine zikakarabatiwa 50 kati ya shule 80 kuna ubaya au upendeleo gani hapo? Bahati nzuri sana waziri na makamu wake wote si wa mkoa huo. Anyway, mti wenye matunda mengi ndio unaorushiwa mawe mengi zaidi.....
Hiyo figure inaonyesha kuwa budget haiwezi kuwa sawa km hakuna kam ukarabati ni kiwango sawa...shule zote ni z watanzania popote zilipo, na ni jukumu la serikali kukarabati shule zake hata kama zipo mkoa wasioupenda.Waliojenga kwa manufaa ya uma walitoa kila malai na hali ili kufanikisha wakati wengine wanaoa.Kwa data zilizopo shule za kilimanjaro zimekuwa zikichukua watu wa nje kuliko watu wa kilimanjaro ambao ilibidi wazazi wauze mifugo na mazao ili watoto wasome.kipindi hicho wengine wanaoa na kucheza ngoma.Leo ndio wanawachukia wachaga.

Issue kwa hao wengine si kuwa na shule chache ila ni ratio si sahihi ktk mgawanyo.Km dara inapew abudget kubwa kwa vile ina watu wengi,ina ina ingiza sana, ina uwekezaji wa kiataifa kwa nini Kilimanjaro nayo sekta ya elimu isipewe kwa kadiri ya wingi wa shule ambazo zinabeba taifa?
 
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Verified Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
4,584
Points
1,225
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Verified Member
Joined Aug 23, 2012
4,584 1,225
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
Mkuu acha unafiki
Kuna sehemu tanzania utakosa mchaga? kama wangekuwa wanachukiwa wangesurvive?

Mimi ni mhehe na mwenyekiti wangu wa kijiji ni mchaga

Idol wangu kisiasa ni Mchaga (Mrema)

Idol wangu wa polisi ni mchaga (Mahita)

Hii thread ni ya kichochezi na haifai kuachiwa hapa.

Chadema ndio wanaoleta ukabila lakini wachaga sio wakabila
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,416
Points
2,000
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,416 2,000
Wachaga waliowengi wanapenda hera na wamekuwa wez sana na majambaz wakubwa wanatokea uchagani. Mifano ipo....
 
M

mazoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
215
Points
0
M

mazoo

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
215 0
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this
Ujambazi upi?Kila kabila lina ujambazi.

Fisadi ni jambazi pia(wenye hella Uswisi,Dentist wa Tembo,ma crooks wa EPA ,Meremeta & Richmond wote ni majambazi pia
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,403,376
Members 531,204
Posts 34,421,673
Top