Uingereza yakataa kuiuzia silaha israel

Uingereza yakataa kuiuzia silaha israel

shekalage

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
47
Reaction score
3
Gazeti la Kizayuni Haaretz linalochapishwa huko Israel limeandika kuwa, Uingereza imekataa mara kadhaa kuiuzia silaha na zana za kijeshi utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hofu kwamba zitatumika dhidi ya wananchi wa Palestina au wapinzani walioko ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu. Gazeti hilo limefichua kuwa, tokea mwaka 2008 hadi 2012, utawala wa Kizayuni wa Israel umetuma maombi 52 ya kununua silaha na zana za kivita kutoka Uingereza, lakini serikali ya London imekataa kutekeleza maombi ya Tel Aviv. Gazeti hilo limeandika kuwa, miongoni mwa zana za kijeshi zilizoombwa na Israel ni boti za mwendo wa kasi, mizinga, zana za mawasiliano ya kijeshi, vipuri vya helkopta na ndege za kivita, mfumo wa kuongozea ndege, fulana za kuzuia risasi, rada za angani na mada za kemikali. Gazeti hilo limeandika kuwa, licha ya Uingereza, Uholanzi nayo pia imekataa kuiuzia silaha na zana za kijeshi utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa hofu kwamba silaha hizo zitatumika dhidi ya wananchi wa Palestina.
MWANAJESHI WA ISRAEL AKIMKANDAMIZA KIJANA WA KIPALESTINA
68423ead25476e43541753dc73d7dc7b_XL.jpg

Mungu ibarika israel pia bariki amani mashariki ya kati
 
Huu ni mwanzo mzuri katika kuleta amani na ukombozi kwa waPalestina, ingawa shinikizo linatoka kwa nchi Wanafiki ambazo zilitumia miaka mingi kuu-unga mkono utawala wa kibaguzi wa Israeli.
 
Dunia inanishangaza sana, hawa wazungu mimi siwaelewi elewi, wanaanya mambo yao kimya kimya bila kutangazia ulimwengu. sasa ni nani alijua kuwa Uingereza haisupport waisrael kukandamiza wapalestina kwakuwa uingereza haijawahi sema.
 
SHIKALAGE hiyo picha uliyoiweka ni ya kijana ambaye alikuwa amejifunga BOMU ili akajitoe mhanga lakini bahati BOMU halikulipuka ndipo alipokamatwa na akari kwenda kuhojiwa ingekuwa Tanzania huyo kijana angeng`olewa kucha.
Hivyo usiweke picha tu na kusema anakandamizwa je una uhakika na usemayo????? kikawaida Waarabu hasa huko Mashariki ya kati wamefundishwa kuwa wa-shari kwa mtu yeyote kwao Vurugu ni njia ya kuwapeleka kwa ALLAH na akifa wakati anamshambulia Myahudi yeye anaitwa SHAHID na anapewa heshima zote kuwa amekufa kishujaa.
 
echolima hyo picha sijaweka mimi hii taarifa nimeichukua kama ilivyo sijaongeza hata kitu kimoja
 
Long Live the State of israel !!!!!!.

Mossad you are back with your jewish slogan! Again!

Do you really know what is the state of israel made of?! Do you!?

These fellow of yours are number 1 child killers, inflicting terror to all her neighbours. Killing womans without mercy!

I suppose you say that because you are Christian. ! And I told you before. Buddy!

Them jew boys dont like you! But you dont seem to understand!!.

You said" you wont hate them even if the persecuted Jesus! Is that sound logical!?!

Normal people dont tend to ""like your enemy!" rather you can forgive them if you are good person.

This people they are doing more torture to all Palestinian (muslim and Christians) more than the boars use to do to black south Africans!!

And if you tell me you supported them!
Then my friend mossad who claim to be a lawyer. You are supporting everything they do!

Thats make you and them NO DIFFERENT!.
I hope to tell you more about your so called friends. But someone might think I am taking a mick!

Why no supporting Vatican then, if you are good Christian! ?

I got a very funny feeling about you!

Mossad james bond!
 
SHIKALAGE hiyo picha uliyoiweka ni ya kijana ambaye alikuwa amejifunga BOMU ili akajitoe mhanga lakini bahati BOMU halikulipuka ndipo alipokamatwa na akari kwenda kuhojiwa ingekuwa Tanzania huyo kijana angeng`olewa kucha.
Hivyo usiweke picha tu na kusema anakandamizwa je una uhakika na usemayo????? kikawaida Waarabu hasa huko Mashariki ya kati wamefundishwa kuwa wa-shari kwa mtu yeyote kwao Vurugu ni njia ya kuwapeleka kwa ALLAH na akifa wakati anamshambulia Myahudi yeye anaitwa SHAHID na anapewa heshima zote kuwa amekufa kishujaa.

Sasa nikuulize Echolima.
We unategemea mtu ambae ameuliwa wazee wake.
Halafu wadogo zake wakachinjwa. Na kama ana mke pia kauwa. Na hio nyumba yake aliyokuwa anaishi. Kaja muisraeli mzuri akaichukua kwa nguvu.

Huyu mtu unategemea awapikie keki wayahudi yenye cream nzuuri ya maziwa na mayai mengi halafu awapelekee kama ahsante sio!?
 
echolima hyo picha sijaweka mimi hii taarifa nimeichukua kama ilivyo sijaongeza hata kitu kimoja

Shekalage. We unategemea huyo echolima hafahamu kinachofanywa na wayahudi!

Hahaha! Huyu ndio katika wale kiingereza wana ugonjwa mmoja unaitwa

"Selective hearing"

Na hii msiseme ni kashfa. Isipokuwa ni kaugonjwa fulani ka akili. Na kukatibu haka. Inabidi upigwe darasa kweli kweli!

Yaani akili zao zinachagua cha kusikiliza!

Hata mtoto wa shule ya msingi anajua hii habari ya wayahudi.

Kwa hiyo rafiki yangu ni bora umpigie gitaa mbuzi huenda siku moja akacheza.
Kuliko kujaribu kumuelekeza mtu kama huyu!

Niulize mimi baba. Nakumbana nao almost kila siku! Na moja ya kazi zangu ni chaplin in our local.
 
Huu ni mwanzo mzuri katika kuleta amani na ukombozi kwa waPalestina, ingawa shinikizo linatoka kwa nchi Wanafiki ambazo zilitumia miaka mingi kuu-unga mkono utawala wa kibaguzi wa Israeli.

Na mimi nasema .Amen. kwa maneno yako murua!

Umepiga ikulu baba.

Lakini Ngoja waisraeli wa kiafrika wakusikie baba mzazi!

Watakubatiza majina mengine sasa ivi!
Na wewe unakula nao hivo hivo wala usiogope!
 
Mungu ibarika israel pia bariki amani mashariki ya kati

Afadhali hata wewe kbosho umeomba dua! Hii ndio maana nawapenda wachaga!

Hasa wa kibosho!

Na mimi nasema AMEEN!,

Au kigalatia nasema HALELUYAH!
 
Hii mizungu siiamini hata kidogo,hao uingereza na Israel ni mtoto wa mjomba na shangazi,nilikuwa namuamini Hugo Chavez tu hawa wengine siwaamini kabisa,
 
Wana wa Israel,lazima wakae chonjo ni udhalimu wa Kiarabu.Itikadi kadi yao tunaiona bongo.
Utoaji meno bila ganzi ,kutoboa jicho la mtu etc.

Hizi ndizo misingi ya sharia
 
Wana wa Israel,lazima wakae chonjo ni udhalimu wa Kiarabu.Itikadi kadi yao tunaiona bongo.
Utoaji meno bila ganzi ,kutoboa jicho la mtu etc.

Hizi ndizo misingi ya sharia

Wamekaa chonjo toka nabii noah!
Lkn wapi! Kifo cha nyani........!
 
Why are the British pretending not to sell arms to the Jews while they were the ones who were responsible for disturbance of the balance of power in the middle east?I remember when the Gamal Nasser nationalized the Suez canal the British,Jews and the French attacked him altogether until when the U.S interfered and ordered a withdrawal of troops.If it's true they refuse to provide armaments then that's because with arms the British won't gain anything from the war because the middle east is owned by the Americans at a larger percent compared to any other state,So the British do not want to see the Americans advance because it hurts them to see their former colonies benefiting the Americans instead of them.ITS NOT BECAUSE THEY CARE ABOUT THE PALESTINIANS BUT ITS BECAUSE THEY LACK THE REASON TO SUPPORT THEM.
 
Malcom lumumba!.

I cant agree more! Bro

This people are one of the main reasons of Global destabilisation.

And thats the only way they have to earned their living.
They got nothing in their countries! Nothing!.
All they have in England is salt! Thats all.

But they are one of the strongest nation on earth!

By making people fight so they can sell weapons and find the reasons to invade other countries! And steals their minerals and wealthy! .
 
ingekua israel wanawekeza hayo mapesa yao kwenye vitu vingine vya maendeleo, nchi yao ingekuwa another heaven ila wao ni silaha kila asubbuhi, mchana na jion.
 
Back
Top Bottom