Kinana amburuza Msigwa kortini

Kinana amburuza Msigwa kortini

Hongera Mh.Kinana,komesha siasa za majitaka....haiingii akilini kumtuhumu Mh.Kinana kisa ni katibu mkuu,kwa nini hawakumtuhumu kabla ya kuwa katibu mkuu?
Tusishangae wakisema hata Mh.MAngula ni FISADI kwani "'mtaji wa siasa za majitaka ni domo lako"'....
:kev::kev::kev::kev::kev::kev::kev::kev::kev::kev:....kwishney MSIGWA...bado LISSU
 
Safi Kinana katafute haki mahakamani. Ndugu zetu hawajui kuwa sheria ni msumeno unakata pande zote wao wakishindwa basi wameonewa wakishinda haki imetendeka mh ni binadamu wa ajabu kweli.

Safi kwa kuwa meli iliyokamatwa na makontena ya majino ya tembo ni yake,basi kampuni itasema kago ilikuwa ya nani na kwanini alidanganya kilichopo,haahaaaa kwa usafi na maadili ya ungozi mzee kinana anakashfa kubwa kupitia kampuni yake,akaepembeni kwanza,mzee wangu hapa hatoki
 
Kwa kweli mi nitaomba ufafanuzi wa hili la tabia hadi kieleweke...
Kwanza ni tabia zipi zimeharibika kwa sasa...

Tabia zilizoharibika mkuu ni mwanzo alikuwa alhaji ila sasa hivi kawa jangili wa ndovu......
 
"kinana nionee huruma unatumaliza" ni kama alikuwa akiomba msamaha huyo tembo kwa kupiga magoti.....hakika damu za tembo hawa hazitamuacha jangili kinana na masisiem yake!!!Time will tell.....

Inasikitisha sana,huu pia ni ushahidi wa mawakili wa Msigwa.
 
mbunge anapotoa kauri bungeni,kauri hiyo kisheria haihojiwi mahakamani,labda tu kama ameshitakiwa kwa kusema nje ya bunge

Kote kote Kinana kabanwa, maana za kwenye hansard nadhani hazipelekwi mahakamani na kama haziko kwenye hansard hazina ushahidi mahakamani. Mikutano hiyo ya nje ya bunge ni ya kisiasa zaidi na pia haina ushahidi wa bila mashaka. Kilichowazi ni kuwa tayari meno ya tembo yalikamatwa na yalifikishwa na meli ambayo asilimia zaidi ya 50 ni hisa za huyu waziri wetu wa Ulinzi wakati wa mzee ruksa...ukishakuwa na hisa zote hizo wewe ndiye mmiliki wa meli...yeye mwenyewe alikiri kwamba yeye kazi yake ni kusafirisha mizigo tu na hana haja ya kujua ni mizigo gani...! Haya ngoja tuone. Mwenzake Ritz alisema hivo hivo alipogundua kama na wachina watamchinja akajikalia kimya maana hana cha pekee ndani ya chama. Huyu anaona wamegusa mahala pagumu kwake na ni mkubwa ndani ya chama hivyo asipolalamika kweli chama kitaumia.

Wale wanaompenda Msigwa hata akiambiwa amlipe Kinana itakuwa ni wakati wa uchaguzi na watamchagua kwa kumwonea huruma tumeshaona chaguzi za huruma nyingi katika nchi yetu kwa hiyo ccm hesabuni vema. Ni ushauri tu si lazima uufuate au ukutia hasira.
 
images


Nadhani huyu jamaa punde si punde atajitokeza kutoa tamko kuwa chadema inahujumiwa. hajui kuwa mwanasiasa mjinga huponzwa na mdomo wake


wrong direction
 
Siku hizi utasikia wakisema hilo suala huruhusiwi kuhoji maana kesi iko mahakaman

Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa

Eti amekatishwa mkataba wa mboga wa mil 350 duh!

Halaf kile kiwanda cha kusaga meno mbona hajakiongelea
 
Duh
Siasa at its peak.
CCM vs CHADEMA. Mpambano mkali ila historia inasemaje wanapokutanika mafahari hawa wawili?
Tehe tehe
Mkuu mauaji ya Tembo sio SIASA, kama mtu anaua Tembo kwa kushirikiana na mtandao wake na serikali haitaki hata KUCHUNGUZA KAMA TUHUMA ZINA UKWELI basi ujue hiyo serikali inanifaika na huo uharamia
 

CHADEMA AKILI KUBWA!!!!

.......Tageti imewekwa ....jangili kichwa kichwa ndani ya pingu......

.....watanzania watakuja kwa wingi makamani kulishuhudia
jangili.......
 
Kesi imesha funguliwa baada ya makubaliano ya kikao cha viongozi waandamizi wa ccm ili kudhibiti kashfa inayotishia hadhi ya chama na katibu mkuu wake.Na mtashangazwa namaelekezo ya matokeo ya hii kesi ...

Hivi Kinana asili yake ni wapi hasa?
Kuna tetesi kuwa huyu jamaa ana asili ya Somalia kwa maana hiyo ni msomali! Sasa basi mimi nataka aulizwe ni lini aliukana Uraia wake wa Somalia na kuwa Mtanzania???

Asili ya Wasomali wengi ni watu wenye vurugu za kila aina. Wengi ni Maharamia(Sea Pirates),Majangili na Waauza madawa ya kulevya. Sidhani kama Bwana Kinana atakuwa hana hizi tabia za Kisomalisomali hata kama CCM walishampa Uraia wa Tanzania na Ukatibu Mkuu wa CCM.

Bado naamini Kinana ni Jangili la Kimataifa na ndiye anayemaliza Tembo wetu kwenye Mbuga za Wanyama. Naomba Mhe. Msigwa na Chadema kwa ujumla wao wajipange kupambana Mahakamani kwa kuleta Ushahidi usiotiliwa shaka.Haiwezekani wewe mwenye Meli au Wakala mzigo HARAMU wa Nyara za Serikali au Madawa ya Kulevya uliokutwa kwenye Meli yako au Meli unayoiwakilisha halafu ujifanye hujui!!!

Hapa Tanzania kuna sheria kuwa Gari,Meli au chombo kikukutwa na nyara za serikali au Madawa ya Kulevya wanataifisha kila kitu kwa maana ya MZIGO na Chombo. Haiwezekani wewe mwene chombo upewe kazi/biashara ya kusafirisha mzigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine na usijue ni mzigo gani unasafirisha. Hii haiwezekani!

Kinana lazima abanwe Mahakamani ili aseme ukweli kuhusu mzigo ule uliokutwa kwenye Meli yake au ya Uwakala. Lazima anajua hilo DEAL la Biashara ya Pembe za Ndovu.
 
Akina Kinana wako wengi ndani ya kichaka chao, CCM. Ndio maana Tanzania yetu haing'oi nanga. Mheshimiwa Msigwa. ujasiri wako ni mwanzo tu.
 
Kwahiyo daktari tembo kaamua kujitupa ulingoni,anajiamini nini huyu?acha mchezo uanze sasa,natayarisha popcorns zangu tayari kwa kuangalia movie mpya iitwayo "kinana ndani ya mahakama" stay tuned!
 
Kwahiyo daktari wa tembo kaamua kuingia kichwa kichwa ulingoni sio,anajiamini nini huyu?acha mchezo uanze sasa,natayarisha popcorns zangu tayari kwa kuangalia movie mpya iitwayo "kinana ndani ya mahakama" stay tuned!
 
Nina wasiwasi ukampeni meneja kwa sasa anaweza kuusikia kwa mbali sana, hata kama si kweli kinana kufanya hivyo, lakini mpaka sasa jinsi jina lake lilivyo chafuka hana hadhi ya kusimamia chama, hivyo wakati wakiendelea na kesi ajiandae kisaikolojia kukaa nje ya nafasi aliyo nayo katika chama
 
ila jamani tusifumbe fumbe tu ,maneno.Jambazi kinana, kweli ni mwizi mchungaji msigwa anao ushahidi wa kutosha hata siku anasema haya hapo mwanza alikuwa nadocuments lukuki ambazo ni za ku-transport tembo na wanyama wengine kwa kutumia meli zake huyu kinana, kuna moja wa mabaria wake ndo katoa hiyo issue, minashangaa watu wanashadadia tu ukweli wa mambo waacheni hawa mafisadi wazuia maendeleo wakubwa,wapigishwe gwalide la kutosha pengine wakijinyea wataacha. Chadema vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

MAENDELEO JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
hiii kesi itaenda mpaka 2015,,kinana kajitakia makubwa,,siri zote zitawekwa wazi
 
Back
Top Bottom