engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Wadau,
Angalieni kwa makini sana mwenendo anaokwenda nao waziri aliyeng'atuka Mh E.Lowasas, na wasiwasi kuwa anaweza kabidhiwa nchi hii na wananchi kama ilivyotokea Kenya kwa Rais Uhuru Kenyata.
Mnadharau mbinu yake ya kuzunguka huku na kule lakini mwisho wa siku wananchi hawa wanaweza washangaza sana. Maana kama mnadhani hakubaliki mbona kila nikiangalia tv namwona ktk kila sherehe, iwe ya akina mama, akina baba, vijana, watoto, misiba, ndoa.
Nakumbuka Rais Uhuru Kenyatta nae swala la ardhi lilikuwa ni tatizo kwake,lakini mwisho wa siku aliwezaibuka mshindi.
Kwa mnaoutaka urais msibeze ya Mh E.Lowasa, wananchi wanaweza washangaza.
Mimi sitapiga kura nitakuwa nayaangalia matokeo ktk mtandao huu wa JF