Recent content by Maysally

  1. Maysally

    Gharama za Umeme

    Ntakupigia Ahsante!
  2. Maysally

    Gharama za Umeme

    Habari gani wana jf?Naomba kusaidiwa nyumba ambayo nimepanga huwa umeme unaisha mapema sana tena unakaa wk 1 kwa umeme wa laki naa,je hii inaweza kusababishwa na history maana nasikia mwenye nyumba alikua anaiba umeme zamani.Na je nifanyeje kupata umeme wangu tofauti na wenzangu?naomba msaada...
  3. Maysally

    Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

    Pole Sana,nami ilinitokea mwaka jana tena na operation juu.Mungu mwema maisha yanaendelea!
  4. Maysally

    Mapenzi na nyimbo

    wanna know what luv is-Lucky dube
  5. Maysally

    Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....

    Nitafanyia kazi hilo natamani niprint nitembee nayo.Umeongea jambo la maana sana
  6. Maysally

    Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

    Kuna gas mpya ya oil com ni gharama nafuu na unaweza kubadilisha na oryx.ni mpya.mm nimenunua nilienda na mtungi wa oryx nikaambiwa upo wa oil com unaweza chukua ni rahisi bt kama ntaona haufai narudi tena kuchukua oryx
  7. Maysally

    Wanawake wa Kikenya

    Mmh kenya majanga nina ndugu na rafiki walioa kenya yakawashnda kwanza wao wanataka wawe kichwa na pia wanapenda mambo makubwa tena si waaminifu
  8. Maysally

    Hana hisia na mimi

    Inaelekea huwa unamkwaza sana au tabia zako c nzuri ulishamcheat sasa kila anapovuta hisia anaona kama anamwona mtu ambaye unatoka nae. ilishanikuta na mimi mpaka nikahamua niachie ngazi.
  9. Maysally

    Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

    Ukitaka mkeo mnene akonde saizi unayotaka mwache agundue kama unachepuka tena na mwanamke mzuri zaidi yake.
  10. Maysally

    Mazuri ya mahusiano/ndoa

    Pamoja na machungu kuna raha kama kujua kuna mtu yupo kwa ajili yangu anayefanya kila kitu kuhakikisha nafurahi pia ninapoamka kifuani kwa mume wangu pia kuwa nae wakati wa shida na raha bega kwa bega.ktk vyote kuwa nae weekend nzima.Najihisi kujiamini sana.
  11. Maysally

    Utabiri wa Baba mchungaji

    Sina hamu nao hao nilitabiriwa kujifungua mtoto mpaka jina la mtoto nikapewa.nikapangiwa hadi atakaomshika badala yake mtoto alikufa hata hakuiona dunia.Kiasi kikubwa imani yangu imeshuka saaana.
  12. Maysally

    Kuhakiki majina ya wazee wanaochukua mafao PPF

    Habari zenu! Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu je kuhakiki majina ya wazee wanaochukua pensheni ni wapi.hili tangazo linatokaga kwa Tv lakini hawajaonyesha ni wapi kwani hata bank hawajui.Tafadhari mnisaidie kwa anaejua maana mzee wangu ana shida.
  13. Maysally

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Mume anauma sana!yalishanikuta lkn kwa kufuma sms tu,ikanifanya mpaka leo nisisahau kidonda hakijapona ingawa mwanaume anajitahid kuonyesha kujutia lakini waapi.NATAMANI SANA NITURN BACK THE HANDS OF TYM...Walioolewa na wazungu huwa wanasema wenzetu weupe hawanaga mpango wa kando.
  14. Maysally

    I hate...I hate whoever does this

    Mie guest nipo na mpenzi tunapoanza kuchojoa tu namwambiaa nipe cm zote naweka mchagoni hapo tundi linaendelea hawezi namii siwezi hakuna kuaminiana sikuhizi.
  15. Maysally

    Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

    Kama kazini nje ya ndoa mpaka kapata mtoto hapo ni kumwacha tu hata mbele za mungu ni sawa hamna dhambi kwani imeandikwa msiachane bali kwa uasherati.
Back
Top Bottom