Hana hisia na mimi

Hana hisia na mimi

Mpe muda afanye yake tuone kama atakumisi, ukiona yupo kimya wewe muache
 
Au ndio huyu niliyempata hivi majuzi !nampelekea moto mzito,nanawa sana,nanyonya sana halafu nagonga white. Kama ni yeye harudi kwako ng'oo
 
hapo anaonesha hakupendi kabisa wewe!ila yupo anampenda na ana hisia nae,mimi hilo limenikuta miezi 4 iliyopita mtu nampenda na tulipendana hasa!cha ajabu alipopata mtu mwngne akaanza sababu ukimtembelea kwake anakuacha ndani anaenda kujifanyisha kazi hata kama hana kazi ya kufanya,usiku ukifika ana anza kupiga miayo wee!mara utasikia nimechoka sana nina usingizi!hapo nikajua tayari nishatemwa ila bado kuambiwa tu,wakati mwingne sio lazima uambiwe angalia matendo!
 
Au ndio huyu niliyempata hivi majuzi !nampelekea moto mzito,nanawa sana,nanyonya sana halafu nagonga white. Kama ni yeye harudi kwako ng'oo
Sidhani, naona hayo yote ni marudio.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kukosa hisia za mapenzi sometime inatokea kama mwenzako kacheat au kakukwaza,au kakuchoka tu.Kutuuliza sisi unakosea sana wakati hujamuuliza yeye kwanini hana hisia na wewe.Hebu jaribu kumuuliza why hakufeel? Coz yeye ndo mwenye jibu sahih.Hebu ongea naye in a romantic way kwamba kwanini hana hisia na wewe.
 
Ahahahahahah! pole sn ndung kuna boya kesha pendw tena. xo we tupa kule wapo wengi ao viumbe.
 
Hapo ndugu yangu huyo sio wako tena. La muhimu wewe achana naye tu huyo.
 
na we funga hisia zako kwake ngoma droo akija hata akivua nguo wala haisimami kitu mtarimbo ulale doro
 
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;

1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.

2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.

3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.

Kila la heri.
Huu ushauri utawahusu wengi sana, ila kwa kuwa wanaaibu, hawatasema
 
Inaelekea huwa unamkwaza sana au tabia zako c nzuri ulishamcheat sasa kila anapovuta hisia anaona kama anamwona mtu ambaye unatoka nae. ilishanikuta na mimi mpaka nikahamua niachie ngazi.
 
Kukosa hisia za mapenzi sometime inatokea kama mwenzako kacheat au kakukwaza,au kakuchoka tu.Kutuuliza sisi unakosea sana wakati hujamuuliza yeye kwanini hana hisia na wewe.Hebu jaribu kumuuliza why hakufeel? Coz yeye ndo mwenye jibu sahih.Hebu ongea naye in a romantic way kwamba kwanini hana hisia na wewe.
Asante, ntaongea nae kwa kina, though alimiambia hajisikii tu
 
Back
Top Bottom