kumbe nawe unakumbuka mautam ya nyuma?
Breathless- Shayne Ward
Habari wanajopo.Hebu tukumbushane nyimbo ambazo tunazikumbuka tulipokutana n wapenzi wetu.Mimi nakumbuka nyimbo za Shania Twain.Yaani wee a cha tu.
Ulikuwa unamuacha?Whitney - I will always love u.
Mi ni afro 70 ya Mbaraka Mwinshehe tu baba!
End of the road by Back Street Boys,damn!