Kuhakiki majina ya wazee wanaochukua mafao PPF

Kuhakiki majina ya wazee wanaochukua mafao PPF

Maysally

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
54
Reaction score
21
Habari zenu! Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu je kuhakiki majina ya wazee wanaochukua pensheni ni wapi.hili tangazo linatokaga kwa Tv lakini hawajaonyesha ni wapi kwani hata bank hawajui.Tafadhari mnisaidie kwa anaejua maana mzee wangu ana shida.
 
Unataka urithi? Haya bhana nenda ofisi za PPF huko ukawaulizie watakuwa na maelezo ya kutosha
 
Back
Top Bottom