Recent content by Mayole ngamba

  1. Mayole ngamba

    Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

    Asante Nabii mwamposa kwa utabiri wako..
  2. Mayole ngamba

    Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye pc

    Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
  3. Mayole ngamba

    Usisaidie masikini, acha wafe

    Maandiko ya vitabu yanatwambiaje? kumsaidia Maskini au tumuache afe kwa njaa na kiu?
  4. Mayole ngamba

    Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Tatizo naonaga kama anatumia nguvu nyingi kupita kias mpaka inakuwa kero kwa msikilizaji, Mpaka nabadili station nyingine maana zile kelele nais kama yuko mitungi, niliacha kusikiliza kipindi cha magazeti bado yupo na Kitenge,
  5. Mayole ngamba

    Simu ipi kati ya Samsung S Series from S10+ na Iphone kuanzia XR inakaa sana na Chaji?

    Note 10 inaweza kuwa bora zaidi japo sina uzoefu zaidi kwa simu hiyo ...
  6. Mayole ngamba

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Polen jaman tuwe waangalifu na vyombo vya moto asee
  7. Mayole ngamba

    Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

    Ziko wapi hizo mzee baba tule hata kwa macho
  8. Mayole ngamba

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Atakubukwa kwa mahubiri yake, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake liimidiwe..
  9. Mayole ngamba

    Hongera sana Mbowe unajua

    Mungu mpe kibari aendelee kutuongoza kwa hekima, uhaminifu na hujasiri Mwamba tuvushe
  10. Mayole ngamba

    Sababu 10 za kwanini simpigii Kura Diamond Bet

    Kama tulivyokubaliana wanaume kama wanaume hatumpigii kura huyo Dogo
  11. Mayole ngamba

    Natafuta umaarufu

    Tuma pesa kwenye no hii nikupe mbinu moja tu ikifeli narudisha mala saba ya pesa uliyotuma....kazi kwako
  12. Mayole ngamba

    Yanga pamoja na ukubwa wao wanastahili wadhibiwe kwa uongo na upotoshaji

    Sjaekuelewa unaongea nini au ndo shibe
  13. Mayole ngamba

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Kuna watu ni mabingwa wanajua kucheza na akili za watu, kupitia matatizo mtu aliyonayo basi watu wanapata fursa na kupenyeza utapeli wao na mwisho wa siku mtu anakuja kushtuka ashaumia ..
Back
Top Bottom