Sababu 10 za kwanini simpigii Kura Diamond Bet

Sababu 10 za kwanini simpigii Kura Diamond Bet

Zamani sadala ilikua kitonga na diamond mnamuita sadala kwaajili hiyo au kuna maana nyingine
 
Habar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet

1)kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda
2) diamond sio Mzalendo kwenye mambo ya kizalendo nashangaa yeye Leo kwenye kuitaka Tuzo ya Bet yeye na genge lake wanatumia uzalendo kuomba kura wakat yeye ndio wa kwanza kudidimiza wasanii wenzake wasiweze kujipatia mkate wao wa kila siku

3),diamond kuonyesha Dharau kwenye msiba wa ruge na kumchafua kua Ruge alikua ananyonya wasanii wakat yeye alivyo toka kwenye management ya Ruge alitoka Bura na Ruge hakummaind ila yeye Harmonize katoka na kamlipa Lakin kila siku vita

3)kutomsapot dainanyange pia ni kukosa uzalendo kwani Dainanyange ni mtanzania na aliitaji uzalendo wetu ila kina Diamond waliombwa saport wakamtolea nje ila Davido kajitoa kwa Dada yetu kwaio wanaijeria wanaitaj sapot kutoka kwetu

4)kujifanya kua kila mafanikio yake ni judud zake sababu najua hata akichukua io tuzo atakuja Kuanza kujidai kua wote walio kua wanampinga kawashinda wala hato kumbuka kua tumempigia kura

5)mama yake kujiona yeye ndio Kazaa peke yake na kumtumia mwanae kuzalilisha watoto wa wengine bila kujali mama zao watajiskiaje

6)kumsaliti mzee Abdul alie mlea kwa Miaka yote

7)NI SADALA

Izo ni Baadhi ya sababu zangu ivyo mimi Binafs kura yangu nampigia Burnaboy
Hivi SADALA ni nini Mkuu?
 
Huyu Mond kamsaliti mzee wake, ni dhambi kubwa sana
So what??? Kwani anashindania tuzo za kwenda mbinguni ama tuzo za burudani dunia? maana hilo ulilosema kama ni kigezo cha kunyima kura nafikiri tafakari upya
 
Hii reverse psychology inayotumiwa na wasanii kutafuta die hard fans naielewa sana.. Yaan we na Mwijaku pamoja na Sudy mnachokifanya ni vice versa na watu wanavyopokea.
Hii tricky imenifanya nisiwachukie watu wanaonichukia maana wananisaidia kuwajua na kuongeza watu wanaonipenda kwa dhati.. Kazana!
 
Wajinga utawajua tu njaa na umaskini unakusumbua
Aliyekwambia BET wanapigiwa kura nan? Acha ushamba au unadhan BET ni MTV ?
Uliza vigezo vya mshindi kupatikama ndo ujue sio kukurupuka

Nakupa taarifa tu hakuna kupigiwa kura BET bali jopo la watu 500 wataalam wa muziki wa BET ndo huchagua washindi
 
Back
Top Bottom