Mwita..Nimekupata vizuri sana kwa taarifa yako miamba inatofautiana sana sana...ndio maana migodi mingine kuna underground na mingine huwezi kuweka underground kuna migodi mingie dhahabu ipo juu sana na mingine iko chini sana na level ya kati hii yote inategemea na aina ya miamba my kaka Miamba...
Swala la sumu Nyamongo sio rahisi kama tusomavyo kwenye vyombo vya habari au wanasiasa wanavolisema.
1. miamba ya Nyamongo na maeneo yanayozunguka miamba yake ni ya acidic foam so hata kama mgodi usinge kuepo athari zingekuepo tu as long as walikua wanajiusisha na shughuli za uchimbaji kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.