Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

Mh...inaonekana umechoka sana lakini mbona na wewe umejificha nyuma ya keyboard na jina lako lisilo halisi?
Kamwela hilo ni jina langu kaka/dada,siwezi kuficha jina kisha nikaamua kukupa namba yangu ya simu hasa wakati huu ambao simu zina usajili.
 
hhahahahah! siasa bwana zina raha na karaha zake. Kila mtu atakuja na lawama zake, mwisho wananchi mnachagua wrong choices.
 
Mkuu..
Wajinga ndio waliwao, badala ya kuhamasisha watu wajitume kwa kuchapa kazi kwa maendeleo ya taifa wao wanahamasishamapambano na serikali

Maendeleo ya TAIFA YAPI? Watu wanalipa KODI wajanja wanaenda kutumbua huko Majuu, Ni pesa kiasi gani zimetafunwa na wajanja?
 
SAGANKA,
Hacha kubweka huku umejificha nyuma ya Laptop ingia front mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna Tofauti kubwa kati ya Misri na Tanzania, Kule Misri mitandao ya Kijamii ilitumika sana kwa sababu watu wengi sana wanaitumia, Huku Bongo ni Tofauti kabisa mkuu, kuna watanzania hata hawajui Facebook ni nini tena wanaishi Mijini kabisa, Laiti kama asilimia 60 ya watanzania wangekuwa wanatumia hii mitandao ukombozi ungekuwa rahisi sana, Ila % ya wanaotumia ni ndogo sana kiasi kwamba haiwezi kukidhi, ila kwa sisi wachache inatosha kufanya hivyo
 
Kama kweli umeamua kuwa muwazi na hauogopi, weka angalau jina lako halisi
 
Niliahidi nitaweka namba zangu saa 8:05,samahani kwa kuchelewa kidogo,ila namba zangu ni 0782 577 006,tuwasiliane jamani.
 
Duuh! kaka umetumwa au wewe chizi? Elimu yako kiwango gani?. wana jf hebu someni vizuri mawazo ya huyu chiizi wetu wa jukwaa halafu changanueni, mtaniamini.
How can so serious issues taken so carelessly and so foolishly like that. Au ndio umeshaa andaa vijana wako wa mabwepande. M$%"£$%^%S^*&&*(&%^&N%(*&%&^% MKUBWA kabisa wewe.
Mzimu mimi sio chizi,na ndo maana sijaharibu laptop yangu,usiponielewa leo naamini kesho utanielewa.Lakini hakukuwa na sababu ya wewe kutumia lugha kali kiasi hicho,hayo ni mawazo na mtazamo wangu,ila nashukuru tu kwamba umesema chochote,nimeweka namba ya simu,unaweza piga ili nikudhihirishie kuwa mimi si chizi.
 
Ila kuna Tofauti kubwa kati ya Misri na Tanzania, Kule Misri mitandao ya Kijamii ilitumika sana kwa sababu watu wengi sana wanaitumia, Huku Bongo ni Tofauti kabisa mkuu, kuna watanzania hata hawajui Facebook ni nini tena wanaishi Mijini kabisa, Laiti kama asilimia 60 ya watanzania wangekuwa wanatumia hii mitandao ukombozi ungekuwa rahisi sana, Ila % ya wanaotumia ni ndogo sana kiasi kwamba haiwezi kukidhi, ila kwa sisi wachache inatosha kufanya hivyo

Watanzania wenzangu tusipende sana maisha ya ku-copy na ku-paste leo ukituambiea tuige ya misri na tunisia nitakushangaeni, kwa sababu kuu hizi;
  • Njia waliyochagua cdm ni ya kistaarabu sana na kiungwana na huu ni uwekezaji katika demokrasia kwani jamii yote kwa ujumla wake inashiriki katika mapambano
  • M4C inapita kila mkoa ,wilaya tarafa na kata na sehemu zingine kijiji kwa kijiji kwa hiyo hii ni njia sahihi kwani ni participatory kwa kila mtanzania
  • Mwisho wa siku kila mtanzania anapata umiliki wa mabadiliko yatakayotokea 2015( ownership)
  • Mtindo wa M4C unawaingiza watanzania wote katika dunia ya kuthubutu, kwa maana nyingine every Tanzanian is part and parcel of the RISK TAKING PROCESS yaani kuindoa ccm madarakani ni ku-take risk
  • Naamini watanzania watakoapoteza uhai ni wachache kutokana na strategy tuliamua kutumia ya M4C kwani moderate approach haiumizi sana na pia inashawishi wengi kushiriki
  • Ukitumia mbinu ya misri uwezekano wa wengi kuogopa risk ni mkubwa, lakini kwa njia hii hata hasara ya kupoteza mali na maisha ya watu inakuwa ndogo
Nawapongeza CDM kwa kuchagua plan hii, sote tuikubali haina hasara kubwa japo inachelelwesha mabadiliko kamili lakini CCM lazima waondoke 2015 bila hasara kubwa
 
Ila kuna Tofauti kubwa kati ya Misri na Tanzania, Kule Misri mitandao ya Kijamii ilitumika sana kwa sababu watu wengi sana wanaitumia, Huku Bongo ni Tofauti kabisa mkuu, kuna watanzania hata hawajui Facebook ni nini tena wanaishi Mijini kabisa, Laiti kama asilimia 60 ya watanzania wangekuwa wanatumia hii mitandao ukombozi ungekuwa rahisi sana, Ila % ya wanaotumia ni ndogo sana kiasi kwamba haiwezi kukidhi, ila kwa sisi wachache inatosha kufanya hivyo
Nimekuelewa mkuu chasha,ndani ya jf kuna zaidi ya watu laki moja,hivi ukombozi huletwa na watu wangapi?hata hivyo big up sana kwani ni kati ya wachache walioonyesha uthubutu.Namba zangu nimeziweka tayari.
 
Back
Top Bottom