Muhongo ni muongo Kama jina lake kishanogewa vx v8 ya bure
mayere sidhani kama unaelewa tunachozungumzia hapa. Unataka tukuamini kwamba miamba ya Nyamongo ni ya kipekee, haifanani na miamba iliyoko Buzwagi, Bulyanhulu, Geita na kwingineko? Kwaqmba miamba ya Nyamongo pekee ndiyo yenye sumu? You must be joking my friend!
Hii dhana kwamba wanakijiji wanaiba majamvi ya kuzuia sumu ni potofu inayotumiwa na watu wa barrick kukwepa uwajibikaji wala haina ukweli wowote. Unaweza kutuambia kwanini walimficha/kumdanganya naibu waziri Kagasheki alipowatembelea kama unaamini kwamba wananchi ndio wenye matatizo?
Hata kama wananchi waliiba mazuria ya kuzuia sumu bado mgodi unawajibika kuzuia sumu isiingie mto Tighite.
Unakosea unapofananisha miamba ya sehemu tofauti za nchi....kumbuka kuwa miamba haiko "homogenous" na ingawaninaweza kuwa na madini ya thamani ya aina ile ile lakini rock formation inaweza kuwa tofauti sana. Mfano, miamba ya Nyamongo na maeneo mengi ya Tarime, yapo karibu sana na Bonde la Ufa, na maweneo hayo yanajulikana sana kwa kuwa na miamba mingi yenye uhusiano na matukio ya kivolkaniki...madini ya sulphur ni mengi kuliko sehemu yoyote Tanzania yanapopatikana madini ya dhahabu. Ni kutokana na utofauti huo wa miamba ndio maana hutaona hata siku moja uchenjuaji wa madini ukiwa unafanana kati ya mgodi mmoja na mwingine...hiyo yote ikizingatia kuwa japo zao ni moja lakini miamba inayobeba hilo zao, na chemical composition yake ni tofauti sana.mayere sidhani kama unaelewa tunachozungumzia hapa. Unataka tukuamini kwamba miamba ya Nyamongo ni ya kipekee, haifanani na miamba iliyoko Buzwagi, Bulyanhulu, Geita na kwingineko? Kwaqmba miamba ya Nyamongo pekee ndiyo yenye sumu? You must be joking my friend!
Hii dhana kwamba wanakijiji wanaiba majamvi ya kuzuia sumu ni potofu inayotumiwa na watu wa barrick kukwepa uwajibikaji wala haina ukweli wowote. Unaweza kutuambia kwanini walimficha/kumdanganya naibu waziri Kagasheki alipowatembelea kama unaamini kwamba wananchi ndio wenye matatizo?
Hata kama wananchi waliiba mazuria ya kuzuia sumu bado mgodi unawajibika kuzuia sumu isiingie mto Tighite.
mayere sidhani kama unaelewa tunachozungumzia hapa. Unataka tukuamini kwamba miamba ya Nyamongo ni ya kipekee, haifanani na miamba iliyoko Buzwagi, Bulyanhulu, Geita na kwingineko? Kwaqmba miamba ya Nyamongo pekee ndiyo yenye sumu? You must be joking my friend!
Hii dhana kwamba wanakijiji wanaiba majamvi ya kuzuia sumu ni potofu inayotumiwa na watu wa barrick kukwepa uwajibikaji wala haina ukweli wowote. Unaweza kutuambia kwanini walimficha/kumdanganya naibu waziri Kagasheki alipowatembelea kama unaamini kwamba wananchi ndio wenye matatizo?
Hata kama wananchi waliiba mazuria ya kuzuia sumu bado mgodi unawajibika kuzuia sumu isiingie mto Tighite.
Kwani nyoka huzaa nini? Huyo prof si zao la CCM tu? Angekuwa ana mtazamo tofauti kweli angeukwaa huo uwaziri? Msilete za kuletwa hapa!
Being a new and not politician is not excuss for not dealing with matter, he should look the toxic from ****** downward and propose new way of mining which is less toxic to the environment and communities as whole. That what will benefit these communities.