Recent content by mayelejuniour

  1. M

    Msaada Wa Garage Nzuri Ya Subaru Dar

    Mkuu kama unaweza kuweka namba ya simu ya huyo fundi Godii itakua poa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    English learning for all beginners

    If you want to be good at any language especially in writing, have a habit of proofreading before communicating your ideas to others. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Gharama za kutuma pesa kwenda benki nje ya nchi T/T ni $55 kwa TPB na si lazima uwe na account, wakati CRDB wanachukua $78 na ni lazima uwe na account Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Tuhamie TPB Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

    Kichuri Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Naomba kufahamu ubora wa subaru

    Ukweli usiopingika ni kwamba kuagiza inapunguza gharama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Naomba kufahamu ubora wa subaru

    Wakuu kuna kampuni iko Japan inaitwa Royal Trading, wameshanitumia invoice nilipie Forester Subaru ya mwaka 2003, changamoto ni kwamba hawana wakala Tanzania kwa sasa, hivyo inaniwia vigumu kuwaamini, kwa anayewajua msaada kama ni kampuni inayoaminika Natanguliza shukurani Sent using Jamii...
  8. M

    Je umepungukiwa na fedha? L-PESA ndio mkombozi wako

    Kuna kipengele cha "vigezo na masharti kuzingatiwa" tuwe makini... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    i.e. Brig Gen - single star Gen Maj Gen - two star Gen Lt Gen - three star Gen Gen - four star Gen Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  10. M

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Kuna mabadiliko yalifanyika, kwa sasa Brigedia Jenerali ana nyota moja, ngao na mkasi; kutoka Meja Jenerali hadi Jenerali inaongezeka nyota moja moja Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  11. M

    Wataalamu,toeni ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kwa unafuu

    Ili kuokoa muda na kujihakikishia ubora unaweza kununua zege ambayo imeshachanganywa toka kiwandani (ready made concrete ) Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  12. M

    Wataalamu,toeni ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kwa unafuu

    Gharama ya kujipanga ni kwenye jamvi (slab) kwa sababu vifaa vingi vya ujenzi huhitajika ambavyo ni saruji, nondo, mbao, mirunda, mchanga, kokoto, maji, misumari, binding wire, conduits za umeme na maji zitahitajika kuwekwa kabla ya kumwaga zege na hela ufundi kwa kila shughuli niliyotaja i.e...
  13. M

    Pikipiki aina ya Boxer, for only 1million.

    Ipo mpya inatolewa bure Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  14. M

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Nami naomba unitumie hii kama hutojali salumh333@gmail.com Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  15. M

    Kulima viazi njombe na Kununua boda boda

    Kwa maoni yangu anza na bodaboda, ukiwa na lengo la kuongeza mtaji wa kufanya kilimo hicho kwa ubora zaidi Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom