Kulima viazi njombe na Kununua boda boda

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
853
597
Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa mwaka(mkataba)
Viazi: Naambiwa kwa viazi vya kumwagilia output ni gunia ni 60-100(40'000-60'000)=2'400'000 au 3'600'000) makadilio ya gunia 60 kwa bei ya 60'000(gunia) ndani ya miezi 3-5 Hekari moja

Mwenye uelewa na aina hizi mbili za ujasiriamali

Ushauri wadau
 
Nunua bodaboda
Kilimo boss wangu ni kamali...hasa viazi
Kama unaweza kusanya mahindi saiv debe 6500 huku njombe..ikifika wa 12 au januari huwa inafika had 18000..
Utapata faida mara mbili kwa miez mitano..
 
Lima viazi sababu unaweza lima mara mbili kwa mwaka,so boda utagombana sana na dereva wako maana kuna muda anaweza kukulimbikizia maden,kuna msemo watu wanausahau, jembe halimtup mkulima,ukikosa msimu mmoja lima msimu unaofuata,so kwa upande wng kilimo ni bora zaid. Tena ukipata shamba nam niandalie heka mbili nije
 
Sawa mkuu
 
Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa mwaka(mkataba)
Viazi: Naambiwa kwa viazi vya kumwagilia output ni gunia ni 60-100(40'000-60'000)=2'400'000 au 3'600'000) makadilio ya gunia 60 kwa bei ya 60'000(gunia) ndani ya miezi 3-5 Hekari moja

Mwenye uelewa na aina hizi mbili za ujasiriamali

Ushauri wadau
Vyote ni risk inategemea na uwezo wako wa kusimamia kwa urahisi.

Ila kwa mtazamo wangu wekeza kwenye kilimo,
Wallen Buffet ana msemo unasema usiweke mayai yote kwenye ndoo moja.
Una million mbili ukinunua pik pik ikitokea hamadi ikapata ajali ama kuibiwa itakuaje?? Hasa hawa madereva toyo walivyo na mawenge wenge.

Wekeza kwenye viazi mara ya kwanza anza kidogo ujifunze upate uzoefu,mara ya pili utarekwbisha yale mapungufu ya mara ya kwanza mara ya tatu utawekeza pesa yote million mbili.
Anza kwa kiasi kidogo ili ujifunze its a matter of learning.

Piki piki zinafaida ukipata kijana mzuri ama ukiwa unaendesha mwenyewe ya kumpa mtu two things are involved
 
Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
 
Kwanza malipo ya boda boda sio 70,000 kwa wiki... Achana na biashara ya kilimo kama mtaji ni huo milioni mbili tu maana ni hatari, unaweza tegemea utavuna gunia 60 ukapata kumi tu, ukategemea bei 60,000/= ukakuta bei ni 30-40,000/= ,bora uende ukanunue mahindi kipindi hiki uyahifadhi uje uuze mwezi wa kumi na mbili risk ni ndogo sana, changamoto ni storage tu
 
Nunua boda mzee hizo ishu za kilimo zinahitaji usimamizi na uangalizi wa hali ya juu kitu ambacho unatakiwa uwe na utayari nacho...
 
Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
Naomba kujua mkuu miez mizur ya kulima viaz vya kumwagilia,,
 
Unahangaika na hela unayo uA mirungi kwa mtaji huo ndani ya miezi sita hautakosa m 4 changamoto ni manjagu tu bishara yenyewe no balida
 
Kwa maoni yangu anza na bodaboda, ukiwa na lengo la kuongeza mtaji wa kufanya kilimo hicho kwa ubora zaidi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
Samahani mkuu kwa Dar es salaam naweza pataje mbegu za viazi?
 
Wewe una 2 million unataka kuajiri mtu wa kukuendeshea boda boda. Acha wenge ukinunua unapigwa na huyo dereva, ni bora ukomae mwenyewe acha umwinyi wa kupenda kuajiri ajiri
 
Kwanza malipo ya boda boda sio 70,000 kwa wiki... Achana na biashara ya kilimo kama mtaji ni huo milioni mbili tu maana ni hatari, unaweza tegemea utavuna gunia 60 ukapata kumi tu, ukategemea bei 60,000/= ukakuta bei ni 30-40,000/= ,bora uende ukanunue mahindi kipindi hiki uyahifadhi uje uuze mwezi wa kumi na mbili risk ni ndogo sana, changamoto ni storage tu
Mahindi yanauzwa wapi mkuu na gharama plz

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nauzoefu wa hizo biashara mbili... BT kilimo cha umwagiliaji kama utakua na usimamiz mzur gunia ztatoka Zaid hizo.. Viaz vya kumwagilia havna gharama kubwaa coz haviitaji madawa madawa hapo ni gharama ya mabomba na usimamiz tuu.. Karbu ulime mkuu
Ni kweli kabisa kwa Viazi vya Umwagiliaji kwa uzoefu wangu Unaweza kuvuna kuanzia Gunia 120 na kuendelea kwa Hekari Moja.
Kama utafuata taratibu na usimamizi Bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom