Naomba kufahamu ubora wa subaru

Kama Una mawenge bado kijana wa masifa mengi wachana nayo itakutindua meno yote kama sio kukufanya mlemavu wa maisha pasina kukuua

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Tafadhari nijuzeni ubora wa gari aina ya Subaru Forester
Naona hujapata majibu ya kutosha. Acha niongeze na langu.

Hili Gari nilishalindesha, na pia mjomba wangu mmoja anakula bata nalo huu mwaka wa 6. Yote ni toleo la mwaka 2004. Kwa mtazamo wangu, ili toleo ni bora kuliko la mwanzo; kimuonekano na pia ground clearance.

Subaru Forester Gari tamu sana. Angalia usinogewe, maana linachanganya faster, alafu comfortable kinoma. Spare zake bei kubwa, ila ni original, unaweka leo, kuja kuweka tena... Unasema kweli muda umekwenda.

Mkikutana kwenye tuta na V8, unaliovertake. Linaitwa gari la vijana for a reason. Kuhusu mafuta, usinunue yenye turbo. Ya kawaida ipo vizuri. Inakula mafuta sawa na Rav4, pamoja na Harrier. AWD iko poa sana. Hukwami aisee, linapopita Rav4, nawewe unapita. Lina bonge la space ndani, sio kama Rav4.

Conclusion:
Hili ndio la muhimu, kama huna plans za kuuza na unataka kufunga nalo ndoa ya kikristo, nunua. Kama unaplan kubadilisha in 1 year, I strongly recommend against it. Maana utaagiza mpaka hapa for 10-11m alafu utakuja kuliuza bei moja na Passo, 5-7m. Ningekuwa kwenye your position ningechukua Rav4 old shape, value yake haishuki. But kama unataka wajukuu waliendeshe na unapenda mbio, chukua forester.

-callmeGhost
 
mkuu chukua mnyama auta juta kamwe, ni Gari nzuri sana spea zipo za kutosha, alichoshi kwenye safari ndefu, linavumilia magonjwa na ulaji wa mafuta ni wa kawaida sana kwa zisizo na turbo nakushauri chukua second generation kwenda juu Kwan utafuraia ulimwengu wa magari
 
Wakuu kuna kampuni iko Japan inaitwa Royal Trading, wameshanitumia invoice nilipie Forester Subaru ya mwaka 2003, changamoto ni kwamba hawana wakala Tanzania kwa sasa, hivyo inaniwia vigumu kuwaamini, kwa anayewajua msaada kama ni kampuni inayoaminika

Natanguliza shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninaweza kukuletea hio gari kwa gharama nafuu kabisa.

Karibu.
 
Harrie na prado bhana ndo
Mambo yote mjin kwa
Kuvinjar

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kama Una mawenge bado kijana wa masifa mengi wachana nayo itakutindua meno yote kama sio kukufanya mlemavu wa maisha pasina kukuua

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwanini umesema hvyo?
 
Back
Top Bottom