CRDB: The most Inefficient Bank of all times

CRDB: The most Inefficient Bank of all times

...maanina!usikwepe kujibu swali we choko,
..ufunge akaunti yake we kama nani funzajike wewe!
Akili yako ndogo kuweza kuelewa nilichokuwa naamanisha. Cyo kila kitu unachosoma huku mtandaoni ni serious. Ila ww kuja na matusi ni ujinga & that's the best of your intellectual effort.
 
Sio Kweliii crdb bank kwa Tanzania inatoa huduma nzuri

Nazungukaa Sana mikoaani

Hongeraa sanaa

Leo nipo Njombee wanaaongozaa Kwan hudumaa

napitaa bank zote za hapaa
Crdb is the best bank

Big up Njombee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi bank zimepiteza mwelekeo kabisa...mimi ni mkandrasi pesa za kampuni hupitia acc. Iliyoko crdb branch ya UDSM nimelipwa sehem ya certificate ya kazi na alimashauri tangu 22. 8.20017 kwa njia ya VENDOR ELECTRONIC TRANSFER. na nikapewa REMITANCE. ila mpaka leo 28 .8.2017 .pesa hazionekani kwenye acc. Wanasema hamna pesa imeingia acc. Yangu..kule DED anasema alishanilipa....huu sio upuuzi kabisa. ? Nchi hii mbov kabisa

}|~[emoji813]
 
It takes weeks up to two months to replace a lost or stolen ATM card with CRDB. It takes less than two hours with NBC!.
That is how efficient CRDB is. Replace Dr. Kimei and bring in new blood and ideas. He has passed his welcome.
 
Acha chuki binafs. Kama CRDB ipo inefficient vp NMB.

Ukwel n kuwa bank nying za TZ ni mbovu ila CRDB ni wao pekee wanaotoa huduma bora

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Hapana kwa sasa NMB wanafanya vizuri CRDB kuna tatizo sio kama ile ya zamani ya ATM bure kwa sasa wao badala ya kutafuta fursa wao wanaongeza makato kila kukicha wanadhani huo ndo ubora
Tatizo lenu wateja, wakiongeza makato kwenye akaunti zenu kwa miamala mnayoifanya kupitia huduma za benki mnalalamika. Sasa maslahi ya wafanyakazi yataboreshwaje? Pia benki itawezaje kumudu gharama za kuongeza watoa huduma ikiwa hamko radhi kuzilipia? Think twice... Kulalamika ndiyo but not to that extent!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti serikali BOT iondoe management pia management itoe mafunzo kwa wafanyakazi. Ushauri wa kwanza sijui ni upi apo? ....alaf analalamikia CRDB alaf anaichonhanisha na serikali. HUU NI UTOPIA
so what is your recomendations.
 
  1. Loss of Direction, Very unfriendly Environment
Ninaandika kupata maoni yenu juu ya sekta ya fedha, particularly contribution mbovu ya CRDB katika utoaji wa huduma za kibenki.

Hapa nazungumzia huduma simple na ya moja kwa moja ya kuchukua na kutoa fedha. Mimi ni mteja wa branch ya kijitonyama. Uzoefu wangu ni muda wanaotumia kuhudumia wateja na ufanisi wa matela. Wahudumu wako very slow, na ukiwauliza siku zote watakwambia system yao ama iko down, ama iko slow.

Lakini pamoja na hayo wahudumu hawa wanaingiza mambo yasiyo ya kikazi kwama vile kuongea na simu katikati ya huduma, kuchat ama kutuma messages wakati mteja akiwa dirishani kwao, kuongeleshana na watendaji waenzao ndani ya madirisha yao wakitokea milango ya ndani, yaani usumbufu ni mkubwa sana. haijalishi umefika saa ngapi, haijalishi siku gani ya juma, wala haijalishi umefuata huduma gani kila kitu ni slow kuliko unavyoweza kufikiri.

Naamini hii ni taswira ya kawaida sana, hata ukiwa kwenye foleni kila mteja analalamika na hakuna improvement. kinachonishangaza ni namba ambavyo si bodi wala serikali ambaye ni mdau anayeonekana kusumbuliwa na hii lack of efficiency na incompetence ya timu yao.

Kwa sasa watu wafanyabiashara wengi sana wanategemea benki za nje, ambazo ni ndogo tu kama baclays, FNB, stanbic kupitishia transactions zao, jambo ambalo halionekani kuwasumbua viongozi wa benki hii, zaidi ya kulalamikia serikali kuhamishai hela zake BOT.

2.Nini Kifanyike
Tunaomba Bodi na serikali kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru banki hii. Ni muda sasa kufanyike yale yaliyofanywa na BOT ya kuiondoa management nzima na safu zima ya wakurugenzi manake wanachofanya ni kujali maslahi yao na siyo kazi yao.

Management iwapatie wafanyakazi mafunzo muafaka ili kuboresha utendaji wao. Wafanyakazi wananuna masaa yote, they look very tired and exosted, na hawana content inapowahitaji kuuza huduma.
Nawasilisha
Aise wewe unahisi hii ni benki ya serikali? Na je hilo tawi moja umeenda ndo unaconclude benki yote?
 
Kimei apumzike sasa. Anataka kufia kwenye kiti hicho. Toka watoto tunamsikia Kimei Kimei. Ni vyema CRDB ikapata damu mpya. Maafisa wa mikopo CRDB hasa akina dada, wana kauli chafu sana kana kwamba CRDB ni mali ya mama zao. Kimsingi mtoa hoja yuko right. CRDB siyo kama ild ya zamani. Sasa ni goigoi kama taasisi ya serikali. Benki za nje kama stanbic nk ziko very efficient. Hata masharti ya mikopo siyo magumu kama crdb. Crdb inategemea zaidi kukopesha wafanyakazi wa serikali kwa riba kubwa. Nawaambia riba ya mabenki mengine ni chini sana. CEDB munyiongeze. Dunia imebadilika.
Njaa mbaya, wewe unaenda benki kubwa hivi unadhani ina mikopo kama ya saccoss pyuu
 
Uyu jmaa kma hjatumwa, bac wamemnyima kaz. Ana stress

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app

Mm nadhani ni competitor wa crdb. Hii ni kwa kuwa kuna thread nyingi apa jf kuliko bank yoyote. Alaf wanajichanganya maana thread zingine wanaonesha crdb haina wateja, hall kweupe, thread zingine zinalamikia foleni. Ivi uwe na simbanking, uwe na tigo pesa, uwe na mawakala kibao kila mitaa, apa town matawi zaidi ya 10, uwe na internet banking, labda kwa wafanyabiashara wakubwa ila kwa mm uwa naenda ndani for pleasure but channel ziko nyingi kiasi kuwa inaresolve maswali mengi. Ila crdb take note maana labda mleta mada ka note kitu. Ila kiukweli kimei kaitoa bank zero to hero. Hata ivi kutengeneza bilioni 20 na kuipa serikali wakati kwa baadhi ya mabenki faida yao kwa mwaka ni bil10 haiwezi kuacha kuwaudhi washindani wao
 
Aise wewe ni Kilaza wa muda wote, unahisi hii ni benki ya serikali? Na je hilo tawi moja umeenda ndo unaconclude benki yote? Nahisi kuna manzi kakutosa hapo kijitonyama

Si kasikia juzi govt kapewa gawio bn 19 ah ah ah ....ila hii bank mm naipendaga tu, imagine nilifungua Ac nikiwa fomu4 mpaka leo. Nilifunguaga Ac bank moja ivi kweli Huduma zao nzuri ila sikuona kipya nilitoa hela yote na mpaka sasa kadi yao imekuwa pambo kwangu
 
It's very true ndugu yangu. I have never seen such a hopeless and incompetent financial institution. Yaana afadhali upatu na vikoba vya wamama huku uswahilini kwetu. Najuta kununua hisa za CRDB. Naona haya kusema CRDB ni benki yangu. I have never bees satisfied with their services. Shame on CRDB Board, Management and the whole club of very inefficient staff.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kasikia juzi govt kapewa gawio bn 19 ah ah ah ....ila hii bank mm naipendaga tu, imagine nilifungua Ac nikiwa fomu4 mpaka leo. Nilifunguaga Ac bank moja ivi kweli Huduma zao nzuri ila sikuona kipya nilitoa hela yote na mpaka sasa kadi yao imekuwa pambo kwangu
Mimi pia mkuu hii benki naikubali sana,Hata kama ni mapungufu yapo madogo ambayo hata benki zingine zinayo tena makubwa zaidi. Tatizo baadhi ya wabongo huwa wanaleta chuki binafsi
 
Mtoa mada kama umetoka nje ya nchi unaweza kuwa una haki,wote tunajua hizi ATM tunazotumia ni mitumba ya kutoka nje.
Ila kikwetu kwetu CRDB ndio benk yenye ufanisi ,inawezekana inaongoza mbele kwa ubora ingawa wote si wazuri
 
  1. Loss of Direction, Very unfriendly Environment
Ninaandika kupata maoni yenu juu ya sekta ya fedha, particularly contribution mbovu ya CRDB katika utoaji wa huduma za kibenki.

Hapa nazungumzia huduma simple na ya moja kwa moja ya kuchukua na kutoa fedha. Mimi ni mteja wa branch ya kijitonyama. Uzoefu wangu ni muda wanaotumia kuhudumia wateja na ufanisi wa matela. Wahudumu wako very slow, na ukiwauliza siku zote watakwambia system yao ama iko down, ama iko slow.

Lakini pamoja na hayo wahudumu hawa wanaingiza mambo yasiyo ya kikazi kwama vile kuongea na simu katikati ya huduma, kuchat ama kutuma messages wakati mteja akiwa dirishani kwao, kuongeleshana na watendaji waenzao ndani ya madirisha yao wakitokea milango ya ndani, yaani usumbufu ni mkubwa sana. haijalishi umefika saa ngapi, haijalishi siku gani ya juma, wala haijalishi umefuata huduma gani kila kitu ni slow kuliko unavyoweza kufikiri.

Naamini hii ni taswira ya kawaida sana, hata ukiwa kwenye foleni kila mteja analalamika na hakuna improvement. kinachonishangaza ni namba ambavyo si bodi wala serikali ambaye ni mdau anayeonekana kusumbuliwa na hii lack of efficiency na incompetence ya timu yao.

Kwa sasa watu wafanyabiashara wengi sana wanategemea benki za nje, ambazo ni ndogo tu kama baclays, FNB, stanbic kupitishia transactions zao, jambo ambalo halionekani kuwasumbua viongozi wa benki hii, zaidi ya kulalamikia serikali kuhamishai hela zake BOT.

2.Nini Kifanyike
Tunaomba Bodi na serikali kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru banki hii. Ni muda sasa kufanyike yale yaliyofanywa na BOT ya kuiondoa management nzima na safu zima ya wakurugenzi manake wanachofanya ni kujali maslahi yao na siyo kazi yao.

Management iwapatie wafanyakazi mafunzo muafaka ili kuboresha utendaji wao. Wafanyakazi wananuna masaa yote, they look very tired and exosted, na hawana content inapowahitaji kuuza huduma.
Nawasilisha
HII SIO KWELI KABISA MIMI NI MTEJA WA CRDB NA NAPATA HUDUMA NZURI TUU. HUU UJUMBE UKO VERY BIAS NA UNAONEKANA HUJAFANYA RESEARCH YAKO VIZURI .ACTUALLY CRDB IS THE BEST IN HANDLING CUSTOMERS
 
Back
Top Bottom