bash rapper
New Member
- May 7, 2017
- 4
- 0
Nenda dukani kwa vigezo hivyo
Nilijua tu mmoja wenu atakuja.Agiza......c umesema hutaki mitumba au sio wewe?
Hilo neno la kwanza Kabisa sijaelewa Ni kikwenu ama kiswahili . ?Unasari kwa Gwajima mkuu?.amesema anatafuta Pikipiki ya kitonga tunampa ushauri unasema boxer Dukani milioni 2 bei anajua mkuu
1million moja ni Bure eeh. Sawa sawa ...akili za Vyeti Feki .Ndio uwezo wake mkuu mbinu niliyompa ni nzuri
Vya Bashite1million moja ni Bure eeh. Sawa sawa ...akili za Vyeti Feki .
Umeshapata pikipiki mimi ninayo naiuza.Natafuta Pikipiki aina Ya Boxer Kwa Tsh 1million.
Vigezo.
1.Pikipiki isiwe ya Uwizi ama dalili zozote za kupatikana kitapeli.
Kumbuka Shahidi wakati wa Manunuzi kwa Upande wangu atakua Askari pamoja na Mwanasheria wangu, na kwa upande wako nitahitaji awe Mjumbe wako wa mtaa.
2.Isiwe Imechoka Body wala Engine wala Kupungukiwa kifaa chochote.
Kumbuka manunuzi yatafanyika Fundi wa Pikipiki akiwepo kwa ajali ya Ukaguzi.
Sina Haraka nayo So kama ww ni dalali ama vingenevyo na Umeliona tangazo hili Basi nisaidie Kuipata Pikipiki hiyo, nipo tayari mda Wowote Kuilipia pale tu itakapopatikana na kutimiza vigezo vyangu.
Kwa Kifupi tu nimeshapata Moja , kwa Bei Hiyo nzuri na Imeingia Tayari kwnye Makusudio ya kazi , najitaji Mbili zaidi.
Nipo Dar es salaam.
Natarajia kusikia kutoka kwenu.
Ahsanteni