Recent content by MAWEED

  1. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    Hata akisema alikua anapigwa na mke wake kwa hapa alipofikia hakuna atakaye amini
  2. MAWEED

    JamiiForums Tanzania App/tools/software gani unalipia kila mwezi

    1.X blue tick verified (Twitter) 2.Spotify 3.Netflix 4.Efootball hii inanilazimu toka online video game zilipodevelop kuja kwenye gadget na tool nimebaki na efootball 5.PUBG(player unknown battle ground)-HILI MUDA WOWOTE, NDIO MCHEZO WANGU PENDWA pengine unakula hela nyingi kwakua kuhesabu...
  3. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Hamna kitu hapo labda ingekua konyagi na metronidazole
  4. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Mwenzi huu wa 10 wanandoa wawe makini sana na ndoa zao.

    Wanaume huwa tunapigwa matukio sana October hii angalia hata maktaba nyuzi za mwezi wa kumi zimejaa malalamiko na kuomboleza
  5. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    BABU JINGA KAA CHINI UKIFIKIRI MALI YAKO INALIWA
  6. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Steringi sio mdada kikundi cha lioness ndio mastaa japo operation nyingi zinafanywa na wanawake
  7. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hata mume wa Joe alivyoondoka nimependa demu mbinafsi sana anajali kazi kuliko familia, akishakuwa protected na wamemkomboa kwanini akatae kurudi home ngoja abaki peke yake tuone kama atapambana na aaliya
  8. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hakika ila nimekuwa sad wamemuua Alexsandra roho imeniuma kama demu wangu vile na ninavopenda wanawake wa kirusi... Alijitolea kuwasaidia ule ni usenge wa kyle nimemchukia sana na ninafurahi pia season 4 wamemuondoa..
  9. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI itaua Watu Bilioni isipodhibitiwa

    Imeshakua noma mpaka aliyetengeneza Ai pia wanaiogopa
  10. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

    Acha ushamba kichwa cha habari umeandika kiswahili habari yenyewe kiingereza unatuchukuliaje
  11. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

    Being a men is suicide hawajui tu
  12. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Rolls ya mondi juzi imemwaga gearbox tandale
  13. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila UKIMWI inawezekana

    Njia pekee ya kutokomeza ukimwi ni kuacha kutumia dawa ili tufe wote tuliathirika
  14. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Sandaland hana kwaliti tunayoitaka tulipie hela kwa kampuni kubwa au tuweke mikataba rafiki tufanye kazi na kampuni kubwa basi
Back
Top Bottom