KAHAMA NI MJI WA HOVYO SANA.

KAHAMA NI MJI WA HOVYO SANA.

Tatizo lako yawezekana umezaliwa kahama umekuliaa kahama umesomea kahama na una mpango wa kuwa na familia kahama, ndyo maana unapaona kahama ni Dubai au London cha kukushauri mkuu hujachelewa jichange uende japo Hongkong uone nini maana ya jiji na nini maana ya mipango miji
Acha mada za kitoto subilia ukirudi chuo mjadili na wenzako mkiwa group discusion
 
Acha mada za kitoto subilia ukirudi chuo mjadili na wenzako mkiwa group discusion
Punguza makasiriko kijana mambo ya shule nilishayasahau miaka 47 iliyopita nakushauri tu jichange upate kutembea na kama unataka kujua mama yako anajua kupika au hajui jaribu kula na kwa jirani
 
Mji mzuri kwa utafutaji babuu, ukitaka kuona wanyama serengeti ipo, au ukitaka fukwe za bahar kuna tanga dsm mtwara na pwani , ukitaka kuona highland pale kilimajaro chuga, manyara penyewe,, Hii nchi ina vivutio lukuki,, hizi kahama na geita ni migodi tu,, makarasha 😂
Shida wengi wa raia wa Shithole hawana exposure hawajawahi kuvuka boda so kwao standards na SI unit ni majiji kama Dar,Mwanza na Arusha.

No wonder hata nyumba tunaigaiga tu ramani hakuna vitu vya maana .Hakuna mipango miji, hakuna barabara za kueleweka.Kwenye makazi ni mchanganyiko na mabaa,makanisa,misikiti na fremu kila nyumba,nyumba zote zimetiwa mageti na kuta ndefu alafu bado mnalalamika JOTO KALI😄😄😄.

NB;Mwambukusi yuko sahihi mbeya hakuna jiji ni LIKIJIJI LIKUBWA📌
 
Ungesema hivi enyi washamba wa Tanzania jitahidini mfike Guangzhou Hongkong Instanibul Moscow muone maana halisi ya majiji ila kuitaja kahama tu kama sehemu ya kishamba, hujatenda haki anzia Dar mwanza arusha, Dodoma, tanga mbeya moshi kote huko kwangu mimi ni Vijiji vilivyochangamka tu
Moja ya kosa kubwa mnalofanya ni kudhani Watanzania hawajui kuwa miji ya nje imeendelea. Watanzania wanajua sana tu kuwa Guangzhou ni jiji zuri limejengeka na kupangika, au miji ya Ulaya imejengwa vizuri na kupangika, huoni mara ngapi watu wakitamani kwenda kuishi huko Ulaya? Unadhani hawajui kuwa miji ya nje ni mizuri? Hii sio Rocket Science, kila mtu anajua si lazima wakatembee kama mnavyodai, hakuna haja hiyo

Miji yetu mingi iko hovyo na kila mtu anajua cha kufanya ili kuipendezesha, ila mfumo wa uongozi tulionao hauwezi kuruhusu kutekeleza hiyo miradi ya kupendezesha miji. So watu wanasifia kilichopo kwa kuangalia labda maisha yake binafsi kwenye mji alioishi ukoje, au fursa za kiuchumi au yeye binafsi amependezwa na nini

Ila kudhani kuwa watz huwa wanasifia Kahama bila kujua China ikoje ni kujidanganya.
 
Kijana unajisifu kuzurula miji ya Watu?Ebu tuoneshe picha za nyumbani kwenu kwanza ili tujadili vizuri,shida inaonekana una stress sana umekimbia bongo na kila ukiludi unaona uliowaaacha wanazidi kutusua

Ukiona mtu yupo Bize kusifia miji ya Watu sis izo code tunazijua

Kwa sis wa mikoani zamani mtu akienda majiji kama dsm mbea Dom alikuwaga akirudi kavaa kapendeza tulikuwaga tunamuona kama yesu ila kumbe huko alipo anapitia magumu sana anabaki kujisifu tu

Njoo kahama tuchimbe dhahabu

Dhahabu inapatatikana chini ya ardhi,tunakushangaa mji wa mgodini unataka uwe kama dubai
 
Ushamba ni kufikiri kila mji lazima ufanane na Dar au Nairobi, mipango miji mibovu sawa, lakini hela ipo au haipo?
 
Ee BIJAMPOLA PUB nimewah ingia ninunue malaya nkaambiwa wamebak wa af 3000 tatu...
aisee bijampola
Hao wa 3k wakikupa U.T.I kupona kwake ata umeze duka la dawa na muuzaji huponi labda umeze hospitali kabisa
 
Acha hila na majungu,kwani umelazimishwa kwenda kahama ,unaweza kupasifia kwenu au unapopaona panafaa bila kuponda sehemu,nyingine,

Jua kuwa ukitoa majiji kama ( dar,Mwanza na Arusha) unatakiwa ujue Tanzania inafanana fanana Sana kaa ukijua Hilo mshamba wewe
Mkuu,

Kiufupi hata mwanza na Arusha hamna cha ziada yaani ukishuka nyegezi ukaikata iseni, mkuyuni mpaka. Mjini unajua hamna kitu sasa pale mjini unatembea dakika 10 upo mabatini kidogo langomoja.

Halkadharka arusha stendi yenyewe majanga.
 
Wasukuma na miji Yao acha wasifie
Muulize kwanza yeye kwao wapi?

Maana habari za kuanza kulinganisha miji ya wasukuma na miji ya ulaya sijui hii tabia imeanza lini

Juzi tuliona matajiri wa katoro wakilinganishwa na waarabu na wahindi, kila mtu aliyekuwa akiinuka alikuwa anasema na sisi huku dar tuna matajiri wahindi na waarabu

Kwakifupi wasukuma tumeshinda
 
Back
Top Bottom