Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 263
- 668
Imekuaje POMBE ni dhambi.?
Wakati mitume na managing wote walikunywa mvinyo.
Wakati mitume na managing wote walikunywa mvinyo.
Ngoja wajuzi waje, anyway KAZI ni kipimo cha utu🥶🥶Imekuaje POMBE ni dhambi.?
Wakati mitume na managing wote walikunywa mvinyo.
Work is the measure of humanityNgoja wajuzi waje, anyway KAZI ni kipimo cha utu🥶🥶
Mkuu nani aliyekwambia kuvuta bangi ni dhambi? Unaushahidi? UnawezaLeta maandiko? Au yanakutoka tu?Na kuvuta bangi pia ni dhambi, kwahiyo wajamaika wote motoni Duh
Unatakiwa utumie akili kuelew hayo maandiko otherwise utajua si dhambiQuran inasema usikaribie Sala ukiwa umelewa subiri Pombe iishe ndio ukasali. Dini Mitihani sana Quran 4:43
Alafu Aya nyingine inasema Pombe inafaida nyingi kwa biashara na wanywaji wana akili sana.
Utagundua Allah ndie Iblis mwenyewe.. maana aya zingine anasema wazi kabisa Pombe ni ya Iblis huku anasema Yake
ayat 67 from Surah An-Nahl
﴿وَمِن ثَمَرَاتِ النَّخِيلِ وَالْأَعْنَابِ تَتَّخِذُونَ مِنْهُ سَكَرًا وَرِزْقًا حَسَنًا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِّقَوْمٍ يَعْقِلُونَ﴾
[ النحل: 67]
Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.
Surah An-Nahl in Swahili
Pombe ni mlango wa shetani akitafuta aitawale roho yako na wote tunajua tofauti ya aliyelewa na asiyelewa.Kazi ya shetani ni kumfanya mlevi afanye mapenzi yake.Pombe yenyewe siyo dhambi ni mlango wa shetani tu kwa mtumiaji.
Nchi nyengine au sio😄Mkuu nani aliyekwambia kuvuta bangi ni dhambi? Unaushahidi? UnawezaLeta maandiko? Au yanakutoka tu?
Halafu hii dhana ya kwamba jamdam nchi zima wanavut bangi mnaitoaga wap?
Jamdam kuna wachungaji,mashekhe,nun na watu wenye prof zao kama nchi nyengine...
Sio kila rasta lazima anavuta bangi mkuu,rasta farian ndo wanavuta bangi na NYBIN RASTA hawavuti bangi kwakua imani inawakataza mfano(mrisho mpoto)...
HAILE SELLASSIE hajawah kuvuta bangi licha ya kuwa ni kiongoz kwenye clan za walima bangi ethiopia
Yaani wewe ulichoandika hamna sehemu uliyotumia akili, ndio utoe maelekezo? Kama huna point kaa kimya matac o . Me nanukuu uislam kuwa pombe ni sahihi haina kosa usiisingizie. Kosa unafanya wewe kama wewe. Kama ni dhambi kwanini itakuwepo pia firdaus.. Napenda mtu atie dosari nachoandika kwa point za kuchallenge na sio upumbavu.Unatakiwa utumie akili kuelew hayo maandiko otherwise utajua si dhambi
Kama kunywa pombe ni dhambi ..je anaye tengeneza pombe na kuwapa watu kunywa ?.Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake. Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi, unaongea kama teja, unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo, unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana, wapo wengine wanavua hadi nguo, wapo wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji, wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali. Pombe ni dhambi.
Endelea kupenda pombe utapata tabuu sanaa.Yaani wewe ulichoandika hamna sehemu uliyotumia akili, ndio utoe maelekezo? Kama huna point kaa kimya matac o . Me nanukuu uislam kuwa pombe ni sahihi haina kosa usiisingizie. Kosa unafanya wewe kama wewe. Kama ni dhambi kwanini itakuwepo pia firdaus.. Napenda mtu atie dosari nachoandika kwa point za kuchallenge na sio upumbavu.
Quran 47:15
مَّثَلُ ٱلۡجَنَّةِ ٱلَّتِي وُعِدَ ٱلۡمُتَّقُونَۖ فِيهَآ أَنۡهَٰرٞ مِّن مَّآءٍ غَيۡرِ ءَاسِنٖ وَأَنۡهَٰرٞ مِّن لَّبَنٖ لَّمۡ يَتَغَيَّرۡ طَعۡمُهُۥ وَأَنۡهَٰرٞ مِّنۡ خَمۡرٖ لَّذَّةٖ لِّلشَّـٰرِبِينَ وَأَنۡهَٰرٞ مِّنۡ عَسَلٖ مُّصَفّٗىۖ وَلَهُمۡ فِيهَا مِن كُلِّ ٱلثَّمَرَٰتِ وَمَغۡفِرَةٞ مِّن رَّبِّهِمۡۖ كَمَنۡ هُوَ خَٰلِدٞ فِي ٱلنَّارِ وَسُقُواْ مَآءً حَمِيمٗا فَقَطَّعَ أَمۡعَآءَهُمۡ
Abul Ala Maududi
Here is the parable of Paradise which the God-fearing have been promised: in it shall be rivers of incorruptible water, rivers of milk unchanging in taste, and rivers of wine, a delight to those that drink; and rivers of pure honey. In it they will have every kind of fruit as well as forgiveness from their Lord. Can such be like those who will abide in the Fire and will be given a boiling water to drink that will tear their bowels apart?