Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,888
- 12,182
Wakuu simba sc anamfunga mtani wake leo, sina maneno mengi 1-2 ft
Yanga hana timu ya kumfunga simba kwa sasa. Maeneo mengi sana uwanjani simba anamzidi yanga. Rejea mechi tatu zilizo pita.Simba akipona sana leo 5 otherwise 7 mpaka 8 leo si mnawadharau kina magungu ngoja moto uwake hamuwezi kushinda dabi viongozi mnapigishana shoti
Hapo uhusiano wa hoteli na kufungwa n upi,?Yanga wameenda kulala hoteli ile ile walofungwa kwenye CRDB cup ipo bweleo
Kwaio tusubirie marudio au mapya
Punguza mahaba ongelea uhalisiaYanga hana timu ya kumfunga simba kwa sasa. Maeneo mengi sana uwanjani simba anamzidi yanga. Rejea mechi tatu zilizo pita.
Mahaba yapo wapi mkuu, mchezaji ambaye aliyekuwa akiwasumbua simba ni pacome jayupo, hawa wapya kwa ukubwa wa mechi hii pamoja na kocha mpya nawaona wakihenyeka, presha itakuwa kubwa tofauti na simba, wachezaji wao wote walioanza kwenye mechi tatu zilizopita wapo pamoja na benchi la ufundi. Mimi karata nimeiweka kwao.Punguza mahaba ongelea uhalisia
Mkuu sisi wengine starehe yetu footballYan ndo naamka hata bangi ya kung'oa lock sijavuta nyie mmekazana na kariakoo dabi..
Hapo uhusiano wa hoteli na kufungwa n upi,?

Mkuu wewe endelea na mabangi yakoYan ndo naamka hata bangi ya kung'oa lock sijavuta nyie mmekazana na kariakoo dabi..
Nitaficha wapi sura yanguYanga kuliko kufungwa leo bora kukimbia, aibu yake itakua kubwaa.!
Leo kitakacho tuponza yanga ni MabekiIla kiukweli ukitazama vitu flan vidogo vidogo (japo vinaweza kuwa na impact) simba wana advantage zaid ya kushinda kuliko Yanga.
Kocha wao ni yule yule ambaye kshamfunga Yanga na kusuluhu mae
KIkosi chao ni kile kile maboresho si makubwa sana ambacho kilimpa matokeo
Mengine yanayobaki ni ya nje ya uwanja labda kama yanaweza leta shida. Ila ndani ya uwanja, simba nampa benefit of doubt kuliko chama langu Yanga