Recent content by Mawazo yangu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

    https://docs.google.com/forms/d/1KU1YrYGPYakjsILGaVvx0nevfoy7jqdUWJjjEQG3NIQ/viewform?usp=send_form Chagua jina la Mtia nia wa Urais kupitia chama cha mapinduzi unaehisi atapitishwa na chama hicho jumapili hii kwa kufuata link hiyo hapo juu Mtia nia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kusamehe au kuacha bora kipi

    Najuta kutosamehe. I moved on, miez kadhaa imepita nimepata mtu ndiyo but bado naona kuna kosa nilifanya kwa kuto kumsamahe. Ukizingatia kuwa mimi nilichepukaga na akagundua na tukaendelea japo alikuwa na kinyongo bt hakukionesha waziwazi had alipokuja kulipiza. Sometimes ni bora tu kusamehe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini athari ya kamari na betting kiuchumi?

    Waendeshaji wanalipa kod kama biashara nyingine zozote. Na pia wana lesen yao ambayo nayo wanailipia . Hapo tu tayar wameongeza mapato kwa TRA
  4. M

    JamiiForums Tanzania The 20 best airlines in the World

    Hyo list ina walakin
  5. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    John Ezekiel Hii inakuwaga na madhara bt kama atafanya kwa muda mrefu , inamfanya apoteze kumbukumbu. Ni had aache na aanze kujitibu tatzo la kumbukumbu la sivyo usahaulifu utakuwa ugonjwa wake Faida yake moja ni kuwa atakapokuwa anapiga mech ya ukweli ukweli atakuwa anachelewa sana kumaliza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Davido atambua mchango wa Tanzania

    Yaani movie na kwanza ndo inaanza, Ongeza na nyingine ntalipia.lets sit and watch
  7. M

    JamiiForums Tanzania Washindi wa "Tuzo za watu"

  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mapokezi ya Diamond Platinumz jijini Mwanza leo tarehe 22-Mei-2015

    Aisee kama jamaa wana hela ya kununua Umati huo wote nayo pia ni mafanikio fulan yanayohitaji kusifiwa Wasifie basi hata kwa hilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando na wasanii wengine 10 wa injili waungana kumuimbia Mwigulu

    Nimekuwa nikisikia hiz habari za Mwigulu Nchemba kutajwa tajwa kuwa miongoni mwa wale wanaojitokeza kuwania urais wa JMT. Sikuwa nazitilia maanan sana japo kuna watu walileta data za kuprove kuwa jamaa ana had baraka zote za Ikulu na kwamba anaandaliwa special kwa kaz hiyo. Leo ndo nimeamin...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Nielewe vzuri Sipondi juhud za Diamond na mafanikio yake, ila nachoona hakipo sawa ni watu kushikilia suala la english ya Diamond kama success story Am sure hata yeye hatapenda kuona et anasifiwa kwa kuongea koongereza vizur, yaan level hiz ni za kusifiana english, tena kwa coment zaid ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Yaan wabongo kweli nyuma yaani like serious tunajadili mtu alivyoongea kiingereza as if kuongeq tu english ni rocket science
  12. M

    JamiiForums Tanzania Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Hv hawa BBC hawajui kuwa Alikiba ndiyo King ?? Mbona wanapenda kuingilia affairs za nchi nyingine ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania What was on Osama Bin Laden's bookshelf?

    Haha haha Atleast nimeona vitabu kadhaa nilovyosoma Hee "Confession of EHM" New pearl habour
  14. M

    JamiiForums Tanzania Google Map: Nigga House = White House

    Ushawah ku add chochote ktk google map? Nina nyumba kadhaa na mitaa kadhaa ya Hapa Tz nimeiname kupitia google map maker So najua kuwa inawezekana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Google Map: Nigga House = White House

    Wameomba msamaha na siyo wao google bali ni contributers mbalimbali wanao fanya hayo makitu kupitia google map maker So wamei diss able hyo app maker for a while Na siyo tu hivyo last week ilikuwa ishu ya picha ya kirobot cha android kikikojolea apple, ilionekana huko indonesia kwenye google...
Back
Top Bottom