Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

Mkuu huwezi amini huyu EL hata kama atasimama kesho kura siwezi mpa ila siasa za CHUKI ndo tuache

Sijaelewa unamaanisha chuki kwa mantiki gani.lakini siamini kama mtu kumwita lowasa ni mtoa rushwa ananunuwa uongozi ni kumchukia . Ni ukweli ulio wazi kabisa.na kila mtu anaona.
 
So Obama anaongoza kwa kufuata history ipi??

mkuu hoja yangu haikuwa namna ya mtizamo wa rais katika kuongoza najaribu kukuonyesha kuwa mawazo ya waasisi wa dunia hii bado ni muhimu sana katika kujua wapi tulitoka wapi tulipo na wapi tunatakiwa kwenda,na tutaenda kwa njia gani na nani,
 
Sijaelewa unamaanisha chuki kwa mantiki gani.lakini siamini kama mtu kumwita lowasa ni mtoa rushwa ananunuwa uongozi ni kumchukia . Ni ukweli ulio wazi kabisa.na kila mtu anaona.

mkuu wanashangaza kusema chuki,hao mawakala wa lowasa vijana ni ndugu zetu na marafiki zetu tunaona tunajua wanachokifanya ,then wanakuja humu wanalalamika,
na ni waulize swali nani anauhakika kuwa kweli hao mawakala wa lowasa ni watiifu kwa lowasa kweli?
 
Sijaelewa unamaanisha chuki kwa mantiki gani.lakini siamini kama mtu kumwita lowasa ni mtoa rushwa ananunuwa uongozi ni kumchukia . Ni ukweli ulio wazi kabisa.na kila mtu anaona.

Nnacho maanisha mkuu kuna video ambayo nliona wamemodify ambayo ni hatari sana Psychologically kwa muhusika. Na sio hilo tu kumbuka jamii yake waliokula pamoja Leo ndo wanamletea haya maneno. Kumbuka kila kukicha utaskia EL mtoa Rushwa. Mbona hawa jamaa wengine wametoa sana na hawakemewi. Hii ndo CHUKI sana
 
Mkuu Mimi sio kijana wa EL tafadhali, Mimi ni mtu ninaependa Siasa maji safi. Elimu yetu inasua sua hadi Leo huwezi kusema yeye ndo kasababisha, Uchumi umeyumba huwezi sema yeye ndo Sababu lakini kinachotengenezwa ni watu mia wanajisafisha kupitia mtu 1. Ili wao wabaki safi
 
Atahakikisha yeye kama nani? naona sasa mmekosa cha kuongea misu.kule nyie, kama nyie ndo mnaonekana wenye akili na huyo mtia nia wenu sipatii picha hao walosalia wakoje, atahakikisha yeye kama nani? mbona sijaona kwenye katiba kama Kikwete anakura ya veto? nachojua Rais anachaguliwa na watu na sio na Rais anayemaliza muda wake.
 
Nnacho maanisha mkuu kuna video ambayo nliona wamemodify ambayo ni hatari sana Psychologically kwa muhusika. Na sio hilo tu kumbuka jamii yake waliokula pamoja Leo ndo wanamletea haya maneno. Kumbuka kila kukicha utaskia EL mtoa Rushwa. Mbona hawa jamaa wengine wametoa sana na hawakemewi. Hii ndo CHUKI sana

Lakini mkuu hebu tuwe tu wakweli.bwana Lowassa ameanza kupigiwa kelele toka lini kwa kucheza rafu.? Ni zaidi ya miaka mitatu sasa lowasa anatoa fedha kwenye misikiti,makanisa,vikoba,vijana wa bodaboda.akapewa adhabu ya kufungiwa Na wenzie.bado hakusikia makundi mbalimbali yakanza kumiminika kwake eti wanakwenda kumshawishi wanatoka mpaka mbeya na pikipiki.kumbuka hapa bado anavunja kanuni za chama.alichojibu ni kuwa hawezi kuzuia mafuriko kwa mkono.hivi mtu kama huyu jina lake likioondolewa mkuu utasema anachukiwa.tafakari
 
Sijaelewa unamaanisha chuki kwa mantiki gani.lakini siamini kama mtu kumwita lowasa ni mtoa rushwa ananunuwa uongozi ni kumchukia . Ni ukweli ulio wazi kabisa.na kila mtu anaona.

Kila mtu anaona? unaassume kila mtu anakaa kwenye madangulo kana kwamba wakati anakununua na kukupeleka gesti sote tulikuepo na tukashuhudia hilo tukio enh? tuletee ushahidi tena mie nitakuwa wa kwanza kukusaidia kudai haki yako mahakamani, hata picha tu zinatosha binti.
 
Mtia nia

KKaaaaa! Mtamuua Mzee wa safari ya MATUMIZI kwa quotation zenu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio chuki yapo mengi ya siri ya el ukiyajua hauwezi hata kupishana nae,

Lakini alitoa att anaeweza kwenda kutoa ushahidi kwa court aende mbona hadi Raisi haendi au hatuna uhakika na tunachokisema??
 
Lakini mkuu hebu tuwe tu wakweli.bwana Lowassa ameanza kupigiwa kelele toka lini kwa kucheza rafu.? Ni zaidi ya miaka mitatu sasa lowasa anatoa fedha kwenye misikiti,makanisa,vikoba,vijana wa bodaboda.akapewa adhabu ya kufungiwa Na wenzie.bado hakusikia makundi mbalimbali yakanza kumiminika kwake eti wanakwenda kumshawishi wanatoka mpaka mbeya na pikipiki.kumbuka hapa bado anavunja kanuni za chama.alichojibu ni kuwa hawezi kuzuia mafuriko kwa mkono.hivi mtu kama huyu jina lake likioondolewa mkuu utasema anachukiwa.tafakari

Mkuu samahani! Mimi sio mshabiki au Bendera ya EL. Ninachotaka kusema hapa ushahidi upoo?? Na kama upo alitoa kauli kwamba Mwenye ushahidi aende kwa court mbona watu kimya?? Hili ndo linalosababisha sisi tuamini hizi ni siasa
 
Mkuu Mramba hawajachukua Mali zake lazima ingetangazwa na gazeti la serikali. Au kama siku hiyo sijasoma gazeti naomba snapshot

Unahangaika na wapuuzi mkuu, mie wala sikuwa shabiki wa Lowassa ila mambo kama haya ndo yananifanya nizidi kumuamini kwamba anaonewa, na hapo hajawahi jibu lolote, hivi mitanzania ya aina hii si ndio ya kunyonga kabisa, mnajua mambo maovu mnayaficha then unamtukana mtu, sasa wewe unatofauti gani na yeye kama ni muovu? sisi tusiojua tunajua PCCB walishamsafisha kwamba hata kwa ile Richmond hakukuwa ni nia ovu mpaka anaondoka, tutawaamini vipi kama hamjatumwa?

Mnasema watu hawampendi lakini tumeshuhudia miungoni mwa watia nia ndio pekee aliyepata wadhamini wengi, haya mnasema kawahonga, kiuhalisia kama mtu kakuhonga na unamchukia utakuwa wa kwanza kusimama kama shahidi kwenye vyombo vya uteuzi, vyombo chunguzi na hatimae mahakamani ili awajibishwe, mpaka leo hii hayo hatujayaona, leo wamekuja na hadithi mpya ya kwamba anahonga waNEC sh 10,000 kila mmoja, vilevile kama hilo linaukweli basi tunategemea hao walohongwa kwa kuwa wanamchukia basi watakuwa wa kwanza kushuhudia kwenye kamati ya maadili na usalama hiyo kesho ili kamati hiyo ijenge hoja ya kumuengua keshokutwa kwenye kamati kuu, hilo nalo lisipotokea sijui mtaficha wapi sura zenu.

Wengine sisi na naamini tunazidi kuwa wengi ndani na nje ya chama tunaamini sasa anaonewa, unless otherwise mtupe ushahidi wa hayo maovu yake na isiwe just a mare say maana hatutawaelewa, labda kama hizo pesa mnahongwa nyie ili mchokoze mada sisi tuseme ya moyoni maana hata Mungu anatuona toka ndani, huwezi zuia haki ya mtu kuassociate na kupendwa.
 
Mtia nia

Hatutaki wahuni ikulu. Komaeni kinidhamu kwanza. Kwa kizazi chenu rais under 50 ni janga!
 
Last edited by a moderator:
Huyo Mkulu hajawai sema ukweli akiwa kigoma! Akiwa huko huwa anadanganya laivu, chunguza,
 
Kikwete ni rais na mkiti ccm,tukivuta kumbukumbu hata mkapa hakumtaka jakaya,wachache wasikilizwe,wengi wape.
 
Mkuu samahani! Mimi sio mshabiki au Bendera ya EL. Ninachotaka kusema hapa ushahidi upoo?? Na kama upo alitoa kauli kwamba Mwenye ushahidi aende kwa court mbona watu kimya?? Hili ndo linalosababisha sisi tuamini hizi ni siasa

Kwahiyo dingi akitoa ushuzi alafu madogo wakauchuna na wewe utaamini madogo hawajasikia chochote eti tu kwasababu wameamua kukaa kimya? sisi mahakamani hatuendi huko kwenye sheria na sisi wananchi kwenye haya mambo ya kisiasa tuna mahakama yetu ambayo si ile ya kwenu, mahakama yetu sisi ni kipindi cha uchaguzi kama hivi tunaanza kukuhukumu mapema, bwana wewe kaa pembeni. Ukianza kutwambia eti ohoo mara sijuhi vitu gani mara mahakama, sie tutakuacha utambe lakini hukumu itakuwa pale pale ni lazima ikupate. Kwahiyo msaidieni Lowassa aelewe kwamba masuala ya kisiasa huku mitaani wananchi huwa hatuendi mahakamani kwa jaji Utamwa, uwa tuna mahakama zetu za miaka 5/5 na ukipita huko basi tumekubali, na hukumu zetu ni kubwa kuliko za kwa jaji.
 
Ukiongoza nchi vibaya unakosa uhalali (moral authority) ya kuwashawishi watu kuhusu aina ya kiongozi asiefaa (au anayefaa).

Sanasana watu watamuepuka mgombea wa aina yako, au mgombea ambaye unayemuunga mkono au unayemuandaa kichinichini.
 
mkuu wanashangaza kusema chuki,hao mawakala wa lowasa vijana ni ndugu zetu na marafiki zetu tunaona tunajua wanachokifanya ,then wanakuja humu wanalalamika,
na ni waulize swali nani anauhakika kuwa kweli hao mawakala wa lowasa ni watiifu kwa lowasa kweli?

Gud question, watuthibitishie utiifu wao kwa El
 
Back
Top Bottom