Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,163
- 11,230
kijana kajitahidi sana, biiiiig improvement yaani
hapa ndio kijana huyu anapowaacha wengi nyuma kiukweli anaonekana ni mtu wa juhudi sana...,watu wa levo ya maisha aliyopitia awali na elimu aliyonayo na alipoipatia (Tandale) hawawezi hata dkk kuongea ktk interview na mzungu kwa levo ile
BiG uP DaI ...,, I can see u there .... the sky is your limit kijana!
Go Go Go...
Yaan wabongo kweli nyuma yaani like serious tunajadili mtu alivyoongea kiingereza as if kuongeq tu english ni rocket science
Mawazo yako ni hafifu, jf pekee ina registered member zaidi ya laki moja. Kwa hizi post 40 zinazompa hongera kwa juhudi zake wewe umekuja kukusanya wabongo wote kuwa wapo NYUMA? Labda kama ni nyuma yako.
Kwa kweli nami nampongeza saaana diamond aliongea vizuri sana. Vijana ni muhimu kujifunza kuwa bidii inalipa maana kuhusu kiingereza Diamond anafanya jitihada za makusudi kujifunza. It is never late, vijana hata nasi watu wazima tujitahidi kujifunza tusikate tamaa eti muda umetutupa. Baadhi ya watu wanamsema Nuhu lakini mwishoni tutamuona anavyo-improve. Tena Diamond alikuwa muwazi na kusema anafundishwa kiingereza na Wema. Alijitambua na kuona mapungufu yake na kuyafanyia kazi. Big up Diamond!
Hv hawa BBC hawajui kuwa Alikiba ndiyo King ?? Mbona wanapenda kuingilia affairs za nchi nyingine ?
Yaan wabongo kweli nyuma yaani like serious tunajadili mtu alivyoongea kiingereza as if kuongeq tu english ni rocket science
Mimi mfuatiliaji mzuri sana wa interviews za Diamond ndio kabisa. Hivyo niliona na kusikia kwa masikio yangu. Nadhani licha ya hao naamini amejifunza kutoka sehemu mbalimbali. yeye mwenyewe aliwahi kusema kuna wakati alifanya kibarua sehemu ya pato lake alogharamia mafunzo ya kiingereza.Sio wema alisema kwenye interview kuwa Penny ndio kamfundisha.
Wema hakutajwa kabisa kumsaifia kiingereza
So ni Penny alijitahidi na hata kumshauri apate mtu awe anamfundisha. Wema yeye udaku ndio aliweka katika uhusiano wao no kitu cha maendeleo kabisa
kajitahidi kweli, hata sikutegemea
tution ya zari matunda yake yanaonekana sasa
Amejitahidi lkn ni tution ya Wema sio Zali hata hicho kiingereza alichomtongozea zali ni tution ya Wema, Wema kamtoa mbali huyu jamaa halafu matunda wanakula wengine lol!
Hv hawa BBC hawajui kuwa Alikiba ndiyo King ?? Mbona wanapenda kuingilia affairs za nchi nyingine ?
Ali k cjawai kumsikia akivunja yai kama king mond,mwenye audio ya ali k akivunja yai tuwekeeni jamaa tusikie. Then tulinganishe.
Mkuu si wema ndo alimtema?
Sio wema alisema kwenye interview kuwa Penny ndio kamfundisha.
Wema hakutajwa kabisa kumsaifia kiingereza
So ni Penny alijitahidi na hata kumshauri apate mtu awe anamfundisha. Wema yeye udaku ndio aliweka katika uhusiano wao no kitu cha maendeleo kabisa
Ila Zari ndio kafanya makubwa na anavyoongea hadi raha.