Kusema kajitahidi ni kama kumnyima haki yake - anaijua lugha hiyo.
Umenisemea....
Kusema kajitahidi ni kama kumnyima haki yake - anaijua lugha hiyo.
Acha kujipendekeza wewe mwanaume, utaolewa mjini hapa...
Ohooooo
Acha kujipendekeza wewe mwanaume, utaolewa mjini hapa...
Ohooooo
wakuitwa??
wakuitwa??
Alafu, rasi simba ndo kafanya kazi hiyo
ni mjanja sana. aliona kiingereza cha mama africa kibovu, akahamia kwa zari, nafikiri ndani ya nyumba wanaongea kiingereza kila siku hivyo ame improve sana, amejitahidi kawapiga bao wengi sana sana.Ingia hapa:https://m.soundcloud.com/bbcafrica/tanzania-bongo-flavour-artist?ocid=socialflow_facebook
Kumbe diamond kamzidi Nuhu kwa yai!
ni mjanja sana. aliona kiingereza cha mama africa kibovu, akahamia kwa zari, nafikiri ndani ya nyumba wanaongea kiingereza kila siku hivyo ame improve sana, amejitahidi kawapiga bao wengi sana sana.