Rose Muhando na wasanii wengine 10 wa injili waungana kumuimbia Mwigulu

Mawazo yangu

Member
Sep 22, 2011
37
18
Nimekuwa nikisikia hiz habari za Mwigulu Nchemba kutajwa tajwa kuwa miongoni mwa wale wanaojitokeza kuwania urais wa JMT.

Sikuwa nazitilia maanan sana japo kuna watu walileta data za kuprove kuwa jamaa ana had baraka zote za Ikulu na kwamba anaandaliwa special kwa kaz hiyo.

Leo ndo nimeamin kwa hakika baada ya kuikuta hii DVD ikiandaliwa ,DVD iliyoimbwa na wasanii wa muziki wa injili wakiongozwa na Rose Muhando,na wengine wengi.

Nimeikuta ipo kwenye maandaliz ya mwisho na nyimbo zote zinamkampenia na kumsifia Mwigulu kuwa anafaa kwa nafasi ya Urais na imepewa jina la "Tuna iman nawe Mwigulu."

Kama ulitokwa povu na habari ya Bukuku kumuimbia Lowassa basi sasa ni wakati wako wa kupasuka kabisa
 
Lowassa ndio UGALI na MBOGA....kwa sasa, hakuna mtu wa kumwaga chochote....vyote ugali na mboga anavyo Lowassa right now...!!!
 
Mwingulu yupi?? Msiwachonganishe watu na mzee Lowasa jamani. Huyo ni kambi ya Lowasa na tunajua ndiye aliyepewa nafasi ya PM kwa baraza ka lowasa.
 
YALIO YA KAISALI MPENI kaisari NA YA MUNGU MPENI MUNGU. NI NANI MNAETAKA KUMTUMIKIA. MUNGU AU SIASA? MUNGU NI MTAKATIFU HACHANGANYWI NA KITU. OLE WENU SIKU ILE YAJA!
nimemaliza kazi yangu ya kufikisha ujumbe. nanawa mikono nukta
 
Kuna jamaa kasema humu kwamba Mwigulu ni kama mtoto aliyetumwa sokoni ila hakupewa pesa anamsubiri mwenye pesa Lowassa.
 
"Hiyo mibangii tunayooovuta ni stiiimu za kulandukaaaa, kamaa sio fani yakoo kwaa kweli uutaumbukaaa..." Sir Nature
 
YALIO YA KAISALI MPENI kaisari NA YA MUNGU MPENI MUNGU. NI NANI MNAETAKA KUMTUMIKIA. MUNGU AU SIASA? MUNGU NI MTAKATIFU HACHANGANYWI NA KITU. OLE WENU SIKU ILE YAJA!
nimemaliza kazi yangu ya kufikisha ujumbe. nanawa mikono nukta

yesu anakaribia sana kurudi aliye msafi na azijitakase magugu na ngano lazima vijitenge kila mtu na atajua wa Mungu na wasio wa bwana Mungu na atusaidie
 
Back
Top Bottom