Recent content by Matukio Jamii

  1. M

    Athari za Mwanga wa Vifaa vya Kieletroniki na Jinsi ya Kukabiliana nao

    TAKRIBAN watu milioni 30 nchini Tanzania wanatumia simu za viganjani na haiwezi kupita siku bila kuangalia vioo vya simu zao, iwe ni kuchapa ujumbe wa maneno, kusoma ujumbe wa maneno na video na wengi hutumia mitandao ya simu zao kusoma na kuangalia habari mbalimbali. Fikiria unachofanya...
  2. M

    Wanafunzi watatu wauawa kwa radi na wengine 19 kujeruhiwa Kagera

    Wanafunzi watatu na wengine 19 wamejeruhiwa kutokana na radi wilaya ya Ngara mkoani Kagera. Wanafunzi hao walifariki wakati wanapatiwa matibabu katika hospitali Teule ya Murugwanza wilayani Ngara. Wanafunzi hao waliambiwa warudi darasani wakati wa michezo na walimu wao baada ya mvua kuanza...
  3. M

    TFDA yakamata kiwanda bubu cha kutengeneza vipodozi Arusha

    Mamlaka ya chakula na dawa kanda ya kaskazini kwa kushirikiana na jeshi la polisi wamembaini na kufanikiwa kumkamata mfanyabiashara mmoja jijini Arusha anayemiliki kiwanda bubu kinachotengeneza vipodozi bila usajili wa TFDA pamoja na shehena ya zaidi ya tani saba ya vipodozi mbalimbali vikiwemo...
  4. M

    Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

    Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wa mitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi ya lugha chafu ndani ya wimbo huo. Akiongea leo na kituo maarufu cha redio, katibu mkuu mtendaji wa baraza hilo amesema ni wimbo ambao haufai na anashindwa kumpima Ney ana akili za...
  5. M

    Jeshi la Polisi lawakamata waliokata kata mifugo ya mfugaji wa Kimasai Mvomero

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 21 wakiwemo wenyeviti wa vijiji vya Mkindo, Dihombo na Kambala wilayani Mvomero, kwa tuhuma za kuwakata mifugo wa mfugaji mmoja wa jamii ya Kimasai, na mmoja kati yao ambaye ni mfugaji akituhumiwa kulisha mifugo kwenye shamba la mkulima na...
  6. M

    Watano walazwa baada ya kujeruhiwa kwa tuhuma za uchawi

    Watu watano mkoani Mara wamelazwa hospitali teule ya Bunda baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwa tuhuma za uchawi. Siku ya tukio(Jana) lilipigwa yowe na wananchi kukusanyika pamoja kisha mwananchi mmoja kuanza kuwataja kuwa ni wachawi na wananchi kuanza kuwashambulia kwa silaha za...
  7. M

    Obama asaini muswada wa kuleta umeme kusini mwa jangwa la Sahara

    Rais wa Marekani, Barack Obama amesaini muswada kuwa sheria ya watu milioni 50 kupata umeme mpaka mwaka 2020. Sheria hiyo ya umeme Afrika itaboresha watu kupata umeme kupitia ushirikiano wa sekta za umma na binafsi. Sheria hio imechukua karibu miaka miwili kupita katika mabunge yote ya...
  8. M

    Wawili wafariki nyumba ya kulala wageni Morogoro

    Watu wawili wamekutwa wamefariki nyumba ya kulala wageni kwa kinachodaiwa kuwa ni shoti ya umeme. Watu hao waliolala pamoja walishika waya wa umeme. Wawili hao wametambuliwa kuwa Henry Geu na Kauye Kibali ambae pia alikuwa mfanyakazi wa gesti hio. Miili yao inachunguzwa kuthibitisha chanzo cha...
  9. M

    Zaidi ya wanawake 9,000 wafanyiwa ukeketaji Singida

    Zaidi ya wanawake 9,000 wamegundulika kufanyiwa ukeketaji mkoani Singida kuanzia January 2013 mpaka December 2015. Idadi hio ikiwa ni sawa na asilimia 20.8 ya wanawake wote waliokwenda kwenye vituo vya kutolea tiba kwa ajili ya kujifungua. Ukeketaji licha ya kuwa ni kinyume cha sheria lakini...
  10. M

    Nigeria yaomba mkopo wa dharura

    Nigeria inaomba mkopo wa dharura wa jumla ya dola bilioni tatu unusu kutoka kwa Benki ya Dunia kujaribu kuziba pengo kwenye bajeti yake. Uchumi wa Nigeria umeathiriwa sana na kushuka kwa bei ya mafuta duniani. Waziri wa fedha nchini humo Kemi Adeosun amesema amekuwa akifanya mazungumzo na...
Back
Top Bottom