Watano walazwa baada ya kujeruhiwa kwa tuhuma za uchawi

Matukio Jamii

Member
Sep 9, 2015
12
8
Watu watano mkoani Mara wamelazwa hospitali teule ya Bunda baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwa tuhuma za uchawi.

Siku ya tukio(Jana) lilipigwa yowe na wananchi kukusanyika pamoja kisha mwananchi mmoja kuanza kuwataja kuwa ni wachawi na wananchi kuanza kuwashambulia kwa silaha za jadi.

Kamanda wa polisi mkoani Mara amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi.
 
Si mnasema sumbawanga NA kigoma ndo Luna wachawi na washirikina.

Haya sasa jibebeni
 
Back
Top Bottom