Matukio Jamii
Member
- Sep 9, 2015
- 12
- 8
Zaidi ya wanawake 9,000 wamegundulika kufanyiwa ukeketaji mkoani Singida kuanzia January 2013 mpaka December 2015. Idadi hio ikiwa ni sawa na asilimia 20.8 ya wanawake wote waliokwenda kwenye vituo vya kutolea tiba kwa ajili ya kujifungua.
Ukeketaji licha ya kuwa ni kinyume cha sheria lakini pia kunapelekea madhara ya kiafya. Inakadiriwa zaidi ya wanawake milioni 100 wamefanyiwa ukeketaji duniani.
Ukeketaji licha ya kuwa ni kinyume cha sheria lakini pia kunapelekea madhara ya kiafya. Inakadiriwa zaidi ya wanawake milioni 100 wamefanyiwa ukeketaji duniani.