Matukio Jamii
Member
- Sep 9, 2015
- 12
- 8
Watu wawili wamekutwa wamefariki nyumba ya kulala wageni kwa kinachodaiwa kuwa ni shoti ya umeme. Watu hao waliolala pamoja walishika waya wa umeme.
Wawili hao wametambuliwa kuwa Henry Geu na Kauye Kibali ambae pia alikuwa mfanyakazi wa gesti hio. Miili yao inachunguzwa kuthibitisha chanzo cha vifo chao.